Je, tuna viongozi wenye uono kimo cha mbilikimo?

Akili kubwa kama hizi ziko mtaani, vilaza na wezi ndo wapo serikalini kutuamulia hali ya kuishi nchini.
Ama tuseme ni ile hali ya kutengeneza tatizo kisha kurudi na namna ya kulitatua? Simlaumu sana rais.. Maana kila jicho linamwangalia yeye, huku naye macho yake yakitegemea watendaji wake..! Hawa ndio wanaomuangusha...

Hapo mwanzoni mwa mwezi uliopita rais alitoa angalizo muhimu sana kuhusu mafuta kupanda bei.. Alishaliona hilo na akasema kuwa mafuta yakipanda bei kila kitu kitapanda bei na maisha yatazidi kuwa magumu.... Je baada ya kauli hiyo zilifanyika juhudi zozote za kuzuia bei ya mafuta isipande?. Jibu rahisi kabisa ni hapana, watendaji walewale hawakuweza kumsaidia rais bali waliendelea kukalia viti vyao ndani ya maofisi ya kifahari na wasaidizi kedekede huku wakiwa busy kuangalia wapi watapiga ndefu kupitia shida ya mafuta

Solution waliokuja nayo ilikuwa ni rahisi sana .. Wapaishi bei ya mafuta kama mara mbili hivi mpaka hapa ilipofikia sasa kisha waje na hizi hadithi za kutafuta suluhu mafuta yashuke.. Je hiyo suluhu itayashusha bei mpaka 2500? Kama jibu ni ndio hili laweza kuwa ajabu la karne! Kinachotafutwa hapo ni zile bei za 2800 na wala sio punguzo la bei ya mafuta

Kinga ni bora kuliko tiba.. Ilikuwa ni vema zaidi kutafuta suluhu ya haraka ya kuzuia mafuta kupanda bei kuliko kuyaacha yapande, kila kitu kipande halafu uje na mkakati wa kushusha bei.. Kuna vitu vingi havitashuka bei tena.

Masoud Kipanya wiki iliyopita alichora kikaragosi kilichowakilisha upandaji wa mafuta.. Na ujumbe ulikuwa wazi kwamba bwana mafuta anachojua yeye ni kupanda tuu na sio kushuka... Pamoja na nia njema ya rais kwenye hili lakini nimestushwa na kuhuzunishwa kwamba bei hizi mpya za mafuta tutatembea nazo kwa wiki tatu na ushee mpaka June Mosi

Wakati yanapanda hayakusubiri mwezi mzima yapande lakini wakati wa kushuka (kwa kiasi kisichojulikana) inahitaji mwezi mzima![emoji31][emoji848][emoji2827]
Pamoja na kupanda bei mafuta kwenye soko la dunia lakini wananchi wa Tanganyika kinachowaumiza sana ni tozo kwenye mafuta zinazofikia 21 hivi toka taasisi za serikali.. Yani taasisi zote hizo kila moja ina asilimia yake kwenye kila lita moja ya mafuta
Na mzigo wote huo haubebi mfanyabiashara wa mafuta kwakuwa yeye faida yake iko palepale

Haubebi mfanyabiashara wa usafirishaji kwakuwa naye anaongeza tu sifuri ili faida yake isiyumbe

Haubebi mtoa huduma nyinginezo kama vyakula nk kwakuwa naye anapandisha bei.

Hawabebi watendaji wa serikali wanaohudumiwa kila kitu na serikali
Mzigo wote huo anabebeshwa mwananchi wa kawaida mwenye kipato cha kufikirisha mno!

Viongozi na watendaji hawa walioaminiwa na rais na kukasimiwa madaraka makubwa asilimia 95 kama sio wapiga dili, basi uono wao ni kimo cha mbilikimo ama hawajui kwanini wapo kwenye nafasi walizopo huku kila mtu akijipanga kivyake kuelekea 2025...Huu ndio mwisho wa maono yao!

Good morning TANGANYIKA!
 
Na haya mafuta tuliyopandishiwa bei ni mzigo wa February ambao haukusiki kabisa na vita.. Hivyo watapiga ndefu mpaka mwisho wa mwezi ndio watupunguzie kidogo[emoji24][emoji24][emoji24]
Hawana UTU kabisa, uzalendo hawana achilia mbali kwenye matendo hata kwenye fikra zao hakuna, ni wabinafsi kupitiliza, sisi kama wananchi kuna sehemu tunakosea katika taifa hili.
 
Good morning Mtanganyika mwenzangu.Tumepigwa na kitu kizito utosini-CCM Hoyeee

Serikalini na bungeni kumejaa wafanyabishara na wengi ndio wamiliki wa makampuni makubwa ya mafuta na wafadhili wa chama
 
Kama Mwigulu na makamba ndio wategemezi wa ushauri unategemea nn. Mwigulu anaamini watz wote wanakipato SAwa na chake hata akipandisha vitu bei watamudu.
Hii nadharia ya raisi akifa Makamu achukue kwa kweli haitutendei haki kabisa, siku zote huwa Hakuna Makamu smart huwezi chagua msaidizi anaekuzidi akili. Sahihi raisi akifa watu tuingie kwenye uchaguzi Ili tupate mtu sahihi.
duuu its got to that haha wabongo noma sana ha ha
 
Rais akisema kuna watu wanapiga piga kelele huko nje.

Hata bila kutaja wanapiga kelele gani huwa tunakiona cha mtema kuni. Yaani wanaona mbali na wanajiongeza.

Sasa Rais kaamua kuwa specific kabisa kuwa swalla kupanda bei ya mafuta ni hatari kwa ustawi wa uchumi lakini mpaka leo wamelala🤣🤣
 
Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita..

nimekopi pahala
hiyo evaporation losses analipwa nani
 
Kama Mwigulu na makamba ndio wategemezi wa ushauri unategemea nn. Mwigulu anaamini watz wote wanakipato SAwa na chake hata akipandisha vitu bei watamudu.
Hii nadharia ya raisi akifa Makamu achukue kwa kweli haitutendei haki kabisa, siku zote huwa Hakuna Makamu smart huwezi chagua msaidizi anaekuzidi akili. Sahihi raisi akifa watu tuingie kwenye uchaguzi Ili tupate mtu sahihi.
🤣🤣🤣wakulia kwenye hela
 
Back
Top Bottom