Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani?

Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani?

Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform?
Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi?

Je itawapata wapi vijana walioandamana kuwauliza Wanataka haki Gani?
Maswali yangu ya msingi kwake Rais

Anapoona vijana wanaimba haki hajui wanataka haki Gani?
1. HAKI YA KUAJILIWA PASIPO UPENDELEO
2. HAKI KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA
3. HAKI YA MKUU WA WILAYA MKURUGENZI NA HALIMASHAURI NA MKUU WA MKOA WAAJILIWE NA ENEO HUSIKA WASIWE WATEULE WAKO KAMWE

HII ITAWAFANYA WAWAJIBIKE KWAO NA SIO KWAKO

4. TUME HURU YA UCHAGUZI SIO HII AMBAYO MWENYEKITI WA TUME NI KADA WA CCM
5. HAKI YA KUAJILIWA PASPO UPENDELEO LEOO UKITAKA NAFASI YA USALAMA. WA TAIFA LAZIMA UWE GRININGADI WA CCM

6. Haki ya kuteuliwa KUTUMIKA nchi paspo kuwa na ulazima niwe ccm

Najiuliza ni kijana Gani ALIYE nje ya uvccm ataweza pata fursa ya kukutana na saidi mwema, au yule Tiss mstaafu, au yule brugedia😂🤣

Mh Rais, tume uliyoiunda na adidu rejea ULIZO zitoa itaweza zifanyia KAZI?
 
Halafu naona wamemuongeza Bwana Madafa kinyemela... kwenye tangazo hakuwepo 😂 😂 😂

Tume imejaa Mapolisi, Wanajeshi na TISS

Ndio waende wakachunguze watu waliowaachia majukumu
 
Madafa ndiyo nani?
1763633186653.png
 
Back
Top Bottom