Je Tume cha uchaguzi itafanya uchaguzi mdogo Mbinga Magharibi

Je Tume cha uchaguzi itafanya uchaguzi mdogo Mbinga Magharibi

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
977
Reaction score
1,408
Habari za Leo wana jf, samahani naomba kuuliza kufuatia kwa kifo cha Mh.John Komba mbunge wa mbinga magharibi je Tume itaitisha uchaguzi mdogo wa ubunge au itasubiria mpaka October uchaguzi mkuu?
 
Haitafanya mpaka uchaguzi Mkuu kwani mbuge amefariki miezi 12 kabla ya uchaguzi Mkuu kufanyika ni kwa mujibu wa katiba
 
Hilo halitafanyika uchaguzi tena mpaka octoba jimbo kwa sasa lipo wazi .
 
Da hata mazishi hayajamalizika watu mnajadiri kumrith
 
Back
Top Bottom