News Alert: JE TULIOLIPIA VING'AMUZI VYA AZAM KISHERIA TUNALINDWAJE?

davisoni

JF-Expert Member
May 3, 2014
402
426
Habari wanaJF.
Naomba kujulishwa juu ya haki zetu wateja was hivi visimbuzi vilivyopigwa pink kuonyesha chaneli za ndani.
Je Kwa sisi tuliolipia gharama za mwezi,ili kupata huduma za ndani alafu gafla huduma imekatwa bila fedha zetu kurudishwa,je kisheria inakaaje hiyo?Hivi MTU akilipia gharama ya kisimbuzi si anakuwa ameingia mkataba wa kupata huduma?
Naomba ufafanuzi wajuzi wa sheria.
 
Back
Top Bottom