Sasa mkuu akili zangu na comment yako tofaut kabisa soma tena nilichoandikaKwa akil yako ukaifananishe china,marekan na tanzania??
Akil kwel hzo??
Au ndo ukishakuwa 'great thinker' wa jf bx unajiona james bond tu hata nww ni joti
Great thinker,my foot!
Mkikatiwa misaada tu
Watu wnyw hadi sindano mnaagiza chinaLevel ya tiss ni kuwadukua na kuwahujumu CDM
Tatizo n kwamba ulivdandia gar kwa mbeleSasa mkuu akili zangu na comment yako tofaut kabisa soma tena nilichoandika
Wewe jamaa soma vizuri comment zangu wewe unachoandika na nilichoandika wala haviendaniWatu wnyw hadi sindano mnaagiza china
Stil unataka tanzania itunishiane misul na china
Mkinyimwa fadha za misaada na marekan mnawaka humu
Sasa na wachina wakitutenga si ndo tutabak uchi??
Au umetumwa na marekan uje utuchonganishe na wachina as anazidisha ushawish wake africa??
Kama hamna vya maana vya kuandika tuwekeen hata mada za kufunga mende aisee sio kutuletea nyuz za PROFESA POPAYE hapa
AnywaySasa mkuu akili zangu na comment yako tofaut kabisa soma tena nilichoandika
Yani umenishupalia kinoma hadi sikuelew ni ukweli kwamba hao TISS ni makada wa CCM utake usitake huo ndio ukweliAnyway
Samahan
Ada ya mja kunena muungwana n vitendo
Niwie radhi kwa kuteleza
nadhani ALIKUWA anamjibu mleta mada. Msamehe watu wanna ghazab kichizi. Mimi Hapa bado sijalala na kesho morning Kali naamka maghazab ninayo tangu Akwilina walivyopokonya nafsi yaaniSasa mkuu akili zangu na comment yako tofaut kabisa soma tena nilichoandika
Ni kweli vyombo vingi vya Dola kwa Tanzania sasa kazi yao ni kuidhoofisha chadema hayo mambo ya tekinolojia hawajui kituHao vilaza uliowataja ni wafia chama eg wakudadavua,mnyeti,kipara kipya,bashite hawa ndio watakushauri nini mkuu zaidi ya kupandikiza majasusi wao ndani ya CDM???Na kujaza matumbo yao vyakula na mivinyo ya ubatili??***** hii nchi tuanze upya tu hakuna kitu
Amenikera kinoma comments zaidi ya 3nadhani ALIKUWA anamjibu mleta mada. Msamehe watu wanna ghazab kichizi. Mimi Hapa bado sijalala na kesho morning Kali naamka maghazab ninayo tangu Akwilina walivyopokonya nafsi yaaniView attachment 698867
Wapo wengine hutembea na bastora kwenye Bar utawasikia wakisema Unanijua mie ni nani? Wanapenda kuwatisha watu kwa neno hilo unajua mie ni nani? Kwa mikwara wapo vizuri kuliko hata CIA, KGB , FBI , Scotland Yard nk lakini tekinolojia bado hata wakenya pengine wanawazidiZitto ametaka TISS ifumuliwe, sio hii ya kutupa watu kwenye viroba
hehehehe kumbe Pascal unatambua hiloWe are just too poor and too empty to be bugged!.
Wadukue siri gani kwetu, au waibe technology gani?, labda kama ni ile technology ya kuiba kura!.
P