officialstawa
Member
- Sep 30, 2016
- 95
- 18
Jamani nasikia tcu wametoa siku 3 za kuaply tena? msaada kwa anaejua au kusikia
ww apply tu wakat huku wenzio wanasoma namba kwenye mikopoJamani nasikia tcu wametoa siku 3 za kuaply tena? msaada kwa anaejua au kusikia
mikopo ni issue nyingne me nawaza kupata chuo tu apaww apply tu wakat huku wenzio wanasoma namba kwenye mikopo
Kama unataka uhakika kwenye taarfa yako nakushaur ingia kwenye website yao.
www.tcu.go.tz
Chek kwenye web yao ndio uhakika huku watakudanganya tumikopo ni issue nyingne me nawaza kupata chuo tu apa
poa thanksChek kwenye web yao ndio uhakika huku watakudanganya tu
Nimesikia pia. Wametoa siku tatupoa thanks
kaka nlisikia kwenye taarifa ya habari so ata mim nmeingia nmekuta closedNmeingia kwenye web yao hamna kitu kama icho ww umebun tu
Wametoa siku tatu kuanzia tar 24 mpaka 26
Yaaap wametoa cku tatu,.......... kwenye tovuti yao hakuna tangazo.
Vp inawahusu hata waombaji wapya au ni wale tu waiotemwa rounds zingine (1st hadi 3rd rounds)Wametoa siku tatu kuanzia tar 24 mpaka 26
Vp inawahusu hata waombaji wapya au ni wale tu waiotemwa rounds zingine (1st hadi 3rd rounds)