mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
Kuanzia tarehe 24 had , 26
Jamani nasikia tcu wametoa siku 3 za kuaply tena? msaada kwa anaejua au kusikia
ehee sikuelewaHilo swala la kupunguzwa kwa requirements umelitolea wapi?
Au hujaelewa au umeamua kupotosha
Naona waombaji wapya wanakubaliwa (kilio chako kimesikika-all the best)Jamani nasikia tcu wametoa siku 3 za kuaply tena? msaada kwa anaejua au kusikia
asantee kakaNaona waombaji wapya wanakubaliwa (kilio chako kimesikika-all the best)
"Awamu hii itawahusu:
• Waombaji ambao bado wako ndani ya mfumo ambao hawajapata nafasi
• Waombaji wapya ambao hawakuwahi kuomba awali; na
• Waombaji walio na sifa linganifu ambao hawakukamilisha taratibu za uombaji hapo awali
yeap na inawahusu hata waombaji wapya ni kuanzia jtatu tr 24 had jtano tar 26 this monthSIJAELEWA HAPA!
Yaani TCU wametoa nafasi nyingine ya awamu ya 4 ya kuomba tena nafasi za chuo?
Je kama ni kweli, ni kuanzia lini mpaka lini?