DAH HIVI WAKUU KUNA MTU ANAFAHAMU HII HUDUMA YA KIFEDHA YA ELIMU FINANCING YA AMANA BANK , ?
YAANI MIKOPO YA KIFEDHA KWA AJILI YA ADA TU KWA WANACHUO WANAOSOMA MASOMO YA SHAHADA ?
Watu wametransfer na namba ya usajiri wameshapewa tokea mda mrefu tu na wameshaanza kusoma .sas kama syatem inakataa hizo namba za usajiri zimetokaje. Na sio mmoj niliyemuna mimi wapo weng sana tu waliotransfer na kufanyiwa usajiri yan ukishafanyiw usajiri chuoni kinachobak ni TCU tu kukuweka kweny record zao kuwa upo chuo gani permanent
Mimi jamaa yangu kakubaliwa na chuo na namba ya usajiri akapewa na akapew na control no yakulipia labda hcho chuo ni chaprivate maana ndo waoga waoga sana hao ila huyo jamaa wako ajue tu namba ya usajiri washamuwekea ila tu hawataki kumpa nao wanasubir uhakika zaidi hiyo isitoshe ni kutokan na idadi ya wanafunzi wao itakuwa wapo wengi sana.
Watu wametransfer na namba ya usajiri wameshapewa tokea mda mrefu tu na wameshaanza kusoma .sas kama syatem inakataa hizo namba za usajiri zimetokaje. Na sio mmoj niliyemuna mimi wapo weng sana tu waliotransfer na kufanyiwa usajiri yan ukishafanyiw usajiri chuoni kinachobak ni TCU tu kukuweka kweny record zao kuwa upo chuo gani permanent
Msaada pekee hapa ni kupeana number km zipo za TCU watu wawatafute... Maana kila chuo kinatoa taarifa zake, wengine tatari, wengine bado, wengine hawajui, alafu tcu wamekausha tu
Sas unakataa nini wakati watu tunao chuon na wameshasajiliwa ,sas mfano ni huyu jamaa yangu mmoja katoka udsm alikuwa kashamaliza na usajiri kabisa full baadae akapat transfer na alikohamia pia wamempa usajiri full na namba ya usajiri kapewa anawiki tatu sasa hv tokea kaanza kusoma.