Mimi siko hivyo,...nikitaka nafukuzia wala siulizii anafanya ama ana nini....!
Hoja yako ina ukweli kwa asilimia nyingi tu,kwa asili mwanamke ni kiumbe dhaifu but huwa inatokea kadri anavyofanikiwa kielimu au kipesa kuna kujiamini fulani hivi kunajitokeza na hili badala ya kuwa baraka kwao mara nyingi inageuka kero,dharau,majivuno,kujisikia na mengineyo,ni wachache sana wanaojitambua kwamba pamoja na elimu niliyonayo au mali bado natakiwa kujitambua as a woman。
Kuhusu hoja yako why hawaolewi au kuwa na mahusiano mazuri na wenzi wao ni ile kwamba hakuna mwanaume rijali atakaekubali kuendeshwa na mwanamke sababu ya uwezo wake,wanaume tumeumbwa kuongoza/kutawala hawa viumbe sio kinyume cha hapo。
N.B hata sisi wanaume once inapokua uko well kiuchumi khali ya kujiamini huongezeka sana kuliko ukiwa broke.
Tarime one Nimekuelewa vizuri sana mkuu
Na kwa mwanamke yeyote anayetaka kuwa na mme ni lazima kila anapofanikiwa azidi kuuvaa ule umwanamke wake wa asili nadhani itamsaidia kumweka kwenye nafasi nzuri ya kujenga mahusiano dhabiti
Ila akijikweza kwa elimu au uchumi mkubwa alionao tatizo hili lazima litamkumba tu
Ataishia kupigwa show lakini ndani hawekwi
True,mtaani wanapigwa show sana na hawaolewi,kuna mdada namfahamu ni mrembo na ana nafasi nyeti sana serikalini na kajijenga sana,ila kuna siku nilimsikia akilalamika kila mwanaume anaempata hakai nae sana na tatizo anataka kunyenyekewa.
Hiyo ni inferiority complex tu inawasumbua watu!
Sometime kuchokoza mada zinazohusu maisha yetu ya kila siku ni jambo zuri,maana tunapata nafasi ya kujifunza kwenye mjadala husika.
Hoja yangu chokonozi leo itaonyesha changamoto anazokabiliana nazo mwanamke anapofanikiwa kielimu na kimaisha,Kwamba kadri mwanamke anavyokwea ngazi ya mafanikio ya kielimu au kimaisha ndivyo wanaume wanavyozidi kumkimbia.
Je tatizo ni wanaume au wanawake?
Karibuni!
Na chanzo ni uoga wa wanaume huwa hawapendi kuona wamepitwa either kielimu, kifedha hata kama mwanamke ata play part yake, bado wanaume hatajiamini kwa sababu ya kupenda uonevu na wasiwe wanapewa challenge.In short kila MTU atumie nafasi yake vizuri ka ni mwanaume act ka mwanaume, pia mwanamke amheshimu mumewe ka kichwa cha nyumba ila sio kuburuzwa tu ka kondoo hata kama ni ujinga.
Ikiwa mwanaume ulifanya uchaguzi sahihi wakati wa kumchagua mwanamke wako wa maisha mabadiliko yoyote atakayoyapata mbeleni hakuna sababu yoyote ya kukuogofya!
Ikiwa mwanaume ulifanya uchaguzi sahihi wakati wa kumchagua mwanamke wako wa maisha mabadiliko yoyote atakayoyapata mbeleni hakuna sababu yoyote ya kukuogofya!
Hakika una MUNGU ndani yako,UbarikiweHoja yako ina ukweli kwa asilimia nyingi tu,kwa asili mwanamke ni kiumbe dhaifu but huwa inatokea kadri anavyofanikiwa kielimu au kipesa kuna kujiamini fulani hivi kunajitokeza na hili badala ya kuwa baraka kwao mara nyingi inageuka kero,dharau,majivuno,kujisikia na mengineyo,ni wachache sana wanaojitambua kwamba pamoja na elimu niliyonayo au mali bado natakiwa kujitambua as a woman。
Kuhusu hoja yako why hawaolewi au kuwa na mahusiano mazuri na wenzi wao ni ile kwamba hakuna mwanaume rijali atakaekubali kuendeshwa na mwanamke sababu ya uwezo wake,wanaume tumeumbwa kuongoza/kutawala hawa viumbe sio kinyume cha hapo。
N.B hata sisi wanaume once inapokua uko well kiuchumi khali ya kujiamini huongezeka sana kuliko ukiwa broke.
Na ndo wanaume wengi wanapo bugi step kwenye choice ya mwenza ukimpata mwenye kuendana tabia na kujuana weakness zenu wenye kuheshimiana, wala haisumbui mwanamke hata amzidi vipi mwanaume kifedha wataheshimiana tu.Tatizo wanaume waache uoge watafte watu wanaoendana kitabia na wajiamini.