Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,264
- 34,233
Tukiwa tunaendelea na sakata la bandari..
Najaribu kuwaza,
Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).
1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.
2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.
Inshort nchi hizi zinafukuza wanyonyaji ambao zinaamini wanaiba utajiri wao.
Je kama Watanzania tuna lipi tunajifunza hapa?
====
Mimi nlichojifunza ...hii mikataba ya hovyo tunayoingia leo miaka ijayo watoto zetu watakuja kupindua nchi ili kuwafukuza wanyonyaji ambao sisi tumewapokea na tunaendelea kuhakikisha hata sheria tunazibadilisha ili kuwapokea.