Je, Tanzania kuna agent wa kazi nje ya nchi?

kwenda kuwa mlinzi (security guard), na houseboy and house girl wapo,unaenda nchi za kiarabu...jiandae kwa ukatili wa kila namna kwenye hii sector
 
mkuu unataka kazi gani?Elimu yako je?na una uozefu wa muda gani kazini?Kama course yako ina professional board, je we ni mwanachama?Ungekua mining ningeweza kukupa badhi ya links. Kama uko mining ,tafuta "camining" "morson international" "williams mining" "informine.com" nyingine utakuja kuziona unapoendelea kutafuta.Unahitaji kujiamini kwanza kwamba unaweza ,maana kazi hizo zina ushindani mkubwa na kuna ka -element ka ubaguzi sana huko maana wazungu wanapendelewa kuliko weusi hata kama wengi wao utakuta hawana vigezo .All the best man
 
Sisi wa sekta nyingne vp mkuu
 
Sector nyingine kama zipi mkuu? hapo maelezo yangu ana cover watu wa supply chain, mechanical engineers, mining engineers, civil engineers, quantity surveyors, mineral processing engineers, surveyors...
 
Kama sector nyingine pia, jaribuni kutafuta kwa google, linkedin, muwe na ile character ya"I can" and accept to compete on international level msiogope. You are better than many in this world, believe in yourself
 
mkuu unataka kazi gani?Elimu yako je?na una uozefu wa muda gani kazini?Kama course yako ina professional board, je we ni mwanachama?Ungekua mining ningeweza kukupa badhi ya links. Kama uko mining ,tafuta "camining" "morson international" "williams mining" "informine.com" nyingine utakuja kuziona unapoendelea kutafuta.Unahitaji kujiamini kwanza kwamba unaweza ,maana kazi hizo zina ushindani mkubwa na kuna ka -element ka ubaguzi sana huko maana wazungu wanapendelewa kuliko weusi hata kama wengi wao utakuta hawana vigezo .All the best man

Sawa Mkuu nime kuelewa
 
Kama sector nyingine pia, jaribuni kutafuta kwa google, linkedin, muwe na ile character ya"I can" and accept to compete on international level msiogope. You are better than many in this world, believe in yourself

Mkuu nashukuru kwa motivation
 
Natafuta kazi nchi za nje iwe Ulaya au uarabuni sawa lakini pia kama ntaweza kuwapata wale wakala ntashukuru Kama kuna mtu anayeweza kunisaidia nisaidie..
 
Back
Top Bottom