Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,608
- 6,822
Ukiondoa zengwe au mizengwe, kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara ya 118, Rais anamteua Jaji Mkuu ambaye anaapa mbele yake kabla ya kuanza kazi ya wadhifa huo.
Halafu pia Rais anamuondoa Jaji Mkuu.
Kwa upande wa Bunge (ibara ya 84), Speaker anachaguliwa na wabunge na kula kiapo mbele ya wabunge na kuondolewa na wabunge.
Halafu pia Rais anamuondoa Jaji Mkuu.
Kwa upande wa Bunge (ibara ya 84), Speaker anachaguliwa na wabunge na kula kiapo mbele ya wabunge na kuondolewa na wabunge.