Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,547
- 8,762
- Thread starter
- #21
Sahihi kabisa, maarifa ni muhimu.Muhimu ni Maarifa
Elimu Bila Maarifa ni Bure kabisa
Si unaona hata jana watu wamekimbia mdahalo.
Sahihi kabisa, maarifa ni muhimu.Muhimu ni Maarifa
Elimu Bila Maarifa ni Bure kabisa
Katiba iliangalia mbele SanaMaprofesa nao wamechagua kulinda matumbo yao na sio maslahi ya wananchi.
Katiba imetoa upana mkubwa bila kuzingatia kwamba kuna wakati utafika na dunia itabadilika, mambo mengi yatakuwa advanced.
Kwamba mwabukusi kuwa boss wa Lissu kuna shida 😂Katiba iliangalia mbele Sana
Kwa sasa Elimu iko Kiganjani siyo lazima uingie darasani ndio sababu pale TLS Mwabukusi ni Boss wa Tundu Antipas Lisu 😂
Ndio faida ya Katiba ya JMT 😀Kwamba mwabukusi kuwa boss wa Lissu kuna shida 😂
Aliyewachagua akina babu Tale ni Magufuri,Ndugai na Mahera.Waliochoka ni Watanganyika Katiba haina tatizo lolote
Kama mnawachagua akina Babu Tale hilo ni tatizo lenu Siyo Katiba 😀
Vipi kuhusu taratibu na usimamizi wa chaguzi?Ndio faida ya Katiba ya JMT 😀
Tatizo siyo usimamizi tatizo ni figisu, kusimamia watu kupiga kura ni rahisi tatizo ni mfumo wa kuhesabu kura na utangazaji, swali fikirishi kwanini tusipige kura kidijitaliVipi kuhusu taratibu na usimamizi wa chaguzi?
Hapo napo katiba ipo sahihi?
Hizo figisu zinaanza baada ya wasimamizi wa chaguzi kuchaguliwa na watawala, kama wangekuwa huru naamini haki ingetendeka.Tatizo siyo usimamizi tatizo ni figiso, kusimamia watu kupiga kura ni rahisi tatizo ni mfumo wa kuhesabu kura na utangazaji, swali fikirishi kwanini tusipige kura kidijitali
Anakuteua kifuatacho..............Hizo figisu zinaanza baada ya wasimamizi wa chaguzi kuchaguliwa na watawala, kama wangekuwa huru naamini haki ingetendeka.
Kifuatacho ni kupokea maagizo tuAnakuteua kifuatacho..............
Hivi ni nchi gani ambayo inafanya chaguzi zake kwa mfumo wa kidijitali? Tunapaswa kujifunza kutoka kwaoMfumo wa kidijitali ukitumika ndiyo funga kazi
Ni ukweli usio na shakaNi kweli kabisa
Hakika muda ni mwalimu mzuri