Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,279
- 219,515
Hivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?
Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala Bora?
Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje?
=======