Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,607
- 59,664
Walikua watu wanalalamika humu wanalipwa 150,000/mwezi km kibarua mkataba ukiisha unaanza kutapatapa tena, hawaajiriIla hii system ilikuwa inaleta uhafadhali kidogo kwa wasio na waya
Walikua watu wanalalamika humu wanalipwa 150,000/mwezi km kibarua mkataba ukiisha unaanza kutapatapa tena, hawaajiriIla hii system ilikuwa inaleta uhafadhali kidogo kwa wasio na waya
Ulipe nini mshahara? Nnavyojua Mimi ni bure km Ajira Portal tu hakuna sehemu ya kulipiaKuna Kijana Nilimsajili Lakini Mwisho ikaishia kupewa Qr code na Control namba kwamba Mimi ndio Nilipe.... Wapi Nilikosea??
Ilikuaje wakati wakusubimit maana mimi nikisubmit inanipeleka kwenye dashboard nacjui kama cv yangu imepokelewa ama vip ??MREJESHO,
Nilifanikiwa kuhangaika mpk nikajisajiri kwenye mfumo wa TaESA Online.
Sasa ngoja nisubiri feedback [emoji28]
Mkuu ni office gani hyo?Ukiomba Internship ofisini kwetu bila Endorsement ya TAESA tunakurudisha, so from my office point of view Yes Taesa inafanya kazi
Na wanalipwa kiasi gani kwa internshipMkuu ni office gani hyo?
Wanalipwa kiasi gani mkuu?Hapa kazini Kuna wawili wapo intern chini ya Taesa
680k kama Extra duty allowanceNa wanalipwa kiasi gani kwa internship