Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,939
Tuambie kuna nini?Hakuna system yoyote inayomu expose
Sio jukwaa late hili mzeeMimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu.
Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio kuweka wigi pia awe na upendo wa dhati na kuheshimu, sijali dini wala level ya elimu, mkoa wowote
Mkuu naomba nisikilizweSio jukwaa late hili mzee
Nini hiki umeandika.Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Sio lazima uelewe. Kama hujaelewa piga kimya tuNini hiki umeandika.
Mbona hiyo system inakuwa overrated sana wakuu?? Shida ni nini?? Mbona hao watu wa kwenye system ni watu wa kawaida sana..Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Ukweli ni kuwa nowdays System ina vilaza wengi sana. Ila still huwezi ondoa ukweli kuwa still ina watu wachache wenye uwezo na werediMbona hiyo system inakuwa overrated sana wakuu?? Shida ni nini?? Mbona hao watu wa kwenye system ni watu wa kawaida sana..
Sema kabisa kwamba system inaexpose chakademus piaSamia hana haja ya kuwa exposed, anafanya vyema kabisa katika kuji expose yeye mwenyewe na mapungufu yake.
Tatizo sio sysytem, tatizo ni upeo na uwezo wa Samia mwenyewe.
Wewe Wenje naona tangu jana unajijitea kwa mpaka kufikia hatua ya kuanzisha thread za kijinga kabisa. Muda wote uliokaa kimya ndiyo ulikuwa unatunga huu uongo? Umejiaibisha mno. Umekutana na mtoto wa rais ambaye ulikuwa humjua na siku hiyo hiyo unamuuliza eti kwa nini serikali ya mama yake haitaki kumlipa fulani? Bora ungeendelea kukaa kimya kwa sababu unazidi kuvuta attention ya watanzania ambao walikuwa wameshaanza kusau.Hakuna system yoyote inayomu expose, mfumo dhaifu wa utendaji haki na wenye urasimu wa kiutendaji ndio umeleta hili zogo lote.
Alichokifanya wenje ndicho ambacho wengi huwa wanafanya kumuomba Makonda na wengine wasaidie kutatua matatizo yao.
Bora umenisanua. Nimeshangaa sana upuuzi anaouandika humu.Wewe Wenje naona tangu jana unajijitea kwa mpaka kufikia hatua ya kuanzisha thread za kijinga kabisa. Muda wote uliokaa kimya ndiyo ulikuwa unatunga huu uongo? Umejiaibisha mno. Umekutana na mtoto wa rais ambaye ulikuwa humjua na siku hiyo hiyo unamuuliza eti kwa nini serikali ya mama yake haitaki kumlipa fulani? Bora ungeendelea kukaa kimya kwa sababu unazidi kuvuta attention ya watanzania ambao walikuwa wameshaanza kusau.
My thoughts as well, hili la huyu dogo Abdul kuhusishwa moja kwa moja kwenye utoaji rushwa ni kumuhusisha mama yake, ikikubalika kuwa ile ni rushwa basi mtoa rushwa ni mama Abdul huku Abdul akiwa messenger wa kukabidhi hiyo rushwa.Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Hakuna kituTuambie kuna nini?
Una akili sana. Ni watanzania wachache sana wenye upeo kama wako.My thoughts as well, hili la huyu dogo Abdul kuhusishwa moja kwa moja kwenye utoaji rushwa ni kumuhusisha mama yake, ikikubalika kuwa ile ni rushwa basi mtoa rushwa ni mama Abdul huku Abdul akiwa messenger wa kukabidhi hiyo rushwa.
Rais mtoa rushwa should be a topic on it's own.
Ila anaenda tu, na umri ukiwepo atafika 2030, na mkizubaa anafika 2035 hukoo, endeleeni kutamaniKwanza hiyo system haimtaki Toka aliporithi.system ilitaka kupindisha katiba ili huyu asirithi maana mafaili yake yalionesha huyu hakuna kitu hadi jeshi wakatishia kuichukua Nchi Kwa mtutu ndiyo ponapona yake.Kwa yanayotokea Kwa Sasa nchini kwetu inaonesha kabisa system waliona mbali mita 200 na walikuwa sahihi 100%