Tumepata wa kutuangamiza, bwana yule...mwachieni MaxABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]This dude been acting suspicious lately,kind of two faced
Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Tuma pichaLeo nimevaa tisheti yangu ya thamani sana ya Jamii Forums, imechakaa lakini naipenda sana
Umetumwa? hahahahhaaa nitumie namba yako nikutumie kwa WhatsAppTuma picha
bwana yule anajidhalilisha kwa mambo ya hovyo hovyo, mwachieni Melo harakaUnderground movement on the move, tumeanza kupata international support.
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG].