Je SSRA wameshaita enterview

kichakorojack

Member
Sep 19, 2011
78
11
Kuna kipindi ssra walitangaza nafasi za kazi ilikuwa august, hivi wameshafanya shortlisting? any idea please assist.
 

e_tenga

New Member
Jul 24, 2009
3
1
Mkuu SSRA walishaita, inategemea wewe uliomba post gani mfano watu walioomba MIS Officer walifanya interview ya kwanza 19 mwezi huu. Afu interview ya pili ikwafanyika tarehe 21.
 

damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
71
Mkuu pale pana ukiritimba nafasi zilizotangazwa kulikuwa na watu wa ndani so walitangaza as formality..hawana jipya mishahara yao midogo,kununua corola ufanye kazi bila tumizi kwa miaka 3 bado kujenga.
 

sirmudy

JF-Expert Member
May 12, 2010
387
119
Mkuu SSRA walishaita, inategemea wewe uliomba post gani mfano watu walioomba MIS Officer walifanya interview ya kwanza 19 mwezi huu. Afu interview ya pili ikwafanyika tarehe 21.

Duuuuh..... ukiona manyoya....., ujue keshaliwa...!
 

sexon2000

JF-Expert Member
Apr 18, 2010
299
64
Uongozi wa SSRA ni replica copy ya PPF. Madudu na ufisadi ndani ya PPF hautakwepeka ndani ya SSRA. DG toka PPF, Director wa IT -PPF, Director wa Internal Audit-PPF, Director wa PR, naye toka PPF. This implies that SSRA is EQUIVALENT to PPF. Pole kama ulitarajia kazi paleMkuu pale pana ukiritimba nafasi zilizotangazwa kulikuwa na watu wa ndani so walitangaza as formality..hawana jipya mishahara yao midogo,kununua corola ufanye kazi bila tumizi kwa miaka 3 bado kujenga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom