Je, Somalia Inaongoza Kwenye Maendeleo ya Kilimo?

Bibi chura amevimbiwa na rushwa ya dili la uagizaji wa sukari lililofanywa na Msomali.
Dunia nzima wasomali wanasifika kwa kufanya biashara za migahawa na ukimbizi hili la kilimo sijawahi kulisikia zaidi ya kumsikia huyu bibi chura.
Ki ukweli tumepigwa tuna president shallow minded
 
Uelewa wa Chura Kiziwi unatia mashaka, tena makubwa!.
Somalia na kilimo wapi na wapi?!.
 
Leo kwenye mitandao mbalimbali, mijadala imekuwa mingi kuhusiana na kauli ya Rais Samia kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, mpe msomali.

Siamini kama Rais anaweza kuitoa kauli hiyo kwa kukurupuka. Yumkini kuna vigezo ulivyovitumia.

Sijafuatilia maendeleo ya kilimo huko Somalia. Wajuzi wa mambo tuelezeni kama Somalia ina maendeleo makubwa sana kwenye kilimo. Maana kama hapa msomali mmoja tu anaweza kukifanya kilimo chetu kibadilike kwa vile tu yeye ni msomali, huko Somalia kwenye wasomali mamilioni, inatakiwa kuwe na maajabu ya Dunia kwenye maendeleo ya kilimo.

Na vipi kwa wasomali waliopo nchini, wamewekeza sana kwenye kilimo?

PIA SOMA
- Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali
Kwani Kila msomali anaishi Somalia? Acha ujinga na utoto
 
Mkiambiwa huyu mama ana shirikiana na kikundi fulani kwenye baraza la mawaziri kuhujumu Tanzania muwe mna elewa.
Yaani na kashfa zote alizo nazo Bashe Rais ana simama kumsifia?
 
Tatizo tunarithisha majitu ya hovyo.ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa somalia ameendelea Kwa kilimo wakati Toka 1991 wako vitani.
 
Leo kwenye mitandao mbalimbali, mijadala imekuwa mingi kuhusiana na kauli ya Rais Samia kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, mpe msomali.

Siamini kama Rais anaweza kuitoa kauli hiyo kwa kukurupuka. Yumkini kuna vigezo ulivyovitumia.

Sijafuatilia maendeleo ya kilimo huko Somalia. Wajuzi wa mambo tuelezeni kama Somalia ina maendeleo makubwa sana kwenye kilimo. Maana kama hapa msomali mmoja tu anaweza kukifanya kilimo chetu kibadilike kwa vile tu yeye ni msomali, huko Somalia kwenye wasomali mamilioni, inatakiwa kuwe na maajabu ya Dunia kwenye maendeleo ya kilimo.

Na vipi kwa wasomali waliopo nchini, wamewekeza sana kwenye kilimo?

PIA SOMA
- Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali
Mama Samia ni bomu la nuklia. CCM ilaaniwe kwa kutuwekea rais ambaye yuko low namna hii.
 
Leo kwenye mitandao mbalimbali, mijadala imekuwa mingi kuhusiana na kauli ya Rais Samia kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, mpe msomali.

Siamini kama Rais anaweza kuitoa kauli hiyo kwa kukurupuka. Yumkini kuna vigezo ulivyovitumia.

Sijafuatilia maendeleo ya kilimo huko Somalia. Wajuzi wa mambo tuelezeni kama Somalia ina maendeleo makubwa sana kwenye kilimo. Maana kama hapa msomali mmoja tu anaweza kukifanya kilimo chetu kibadilike kwa vile tu yeye ni msomali, huko Somalia kwenye wasomali mamilioni, inatakiwa kuwe na maajabu ya Dunia kwenye maendeleo ya kilimo.

Na vipi kwa wasomali waliopo nchini, wamewekeza sana kwenye kilimo?

PIA SOMA
- Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali
Somalia ipi ambayo kila leo iko kwene majanga ya njaa??
Kunasehemu inanjaa kama somalia???
Hata miraa au mirungi wanayokula inatoka Kenya??

Kuna shida hapa hao wasomali aliowajaza kwene serikali yake ndo wanamlisha haya matango pori.
Kusikia hatusikii hata kuona tushindwe??
 
Sasa hivi kuna Somalia ile ya majangili na Isamists halafu ipo Republic of Somaliland.
Sasa hivi hii siyo kama Nchi. Fikiria tangu mwaka 1991 haitawaliki, kuna kizazi kizima hakijaenda shule. Yaani balaa, halafu huyu Mama Agent wa waarabu anasema ati Msomali ndiyo anajua kilimo kuliko Mtanzania; to hell with her!!!!!!!!!!!
Umeacha jambo Moja kubwa Somalia ni wanatengana kwa koo zao
 
Toa hii picha
th
 
Back
Top Bottom