Je sisi vidampa tutapona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je sisi vidampa tutapona?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jun 9, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,561
  Likes Received: 10,036
  Trophy Points: 280
  Kama magari ya rais yanawekewa mafuta machafu, je sisi vidampa na magari yetu kuukuu tutapona?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nchi isha oza hii.
  Kama rais anapewa mafuta ya jalalani wewe usitarajie mafuta ya mezani.
  Cha muhimu kufanya, peleka gari yako TPDC ukafungiwe mfumo mpya wa gesi.
  Gharama sio kubwa, jichange uinjoy life kama uko nchi za wenye akili.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamaa walikosea step tu, lakini wanajua vituo vyote vinavyouza mafuta feki na mafuta orijino.
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  kwani gari za rais zinawekwa mafuta wapi?
   
 5. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 262
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Mh!!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  hapo ndio tutajiju...mbona tutakoma?

   
 7. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kiranja mkuu hii kitu ya gesi ipo kweli kaka? utaratibu wake ukoje aisee
   
 8. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Moshi kwenye vituo vya mafuta feki
   
 9. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Watu wakihamia kwenye gesi, zitakuja fake za kutoka China.... ambazo zinaweza kuwa very deadly.
   
 10. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 19,226
  Likes Received: 9,337
  Trophy Points: 280
  nyie vidampa magari yenu sio SENSITIVE na mafuta machafu.......ni kama mtoto wa mtaani(chokoraa) na mtoto wa geti kali ukawanyweshe maji ya dawasa....
   
 11. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Alafu jamaa wa huku wamesema wanamsubiri mkubwa presidaa aje kwenye kampeni wampe kitu
  kingine kilichochakachulia .sasa kama vipi akiweza aje na gari za kawaida huku watayaaharibu magari
  ya Mhe.Wapambe wake ebu toeni ushauri kwa mukulu akija huku awe makini ikiwezekana mje tu na
  mafuta yenu kwenye mapipa
   
Loading...