Je, Sirro atapokea malalamiko ya wavamiwa?

mumburya

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
321
448
Najiuliza tu baada ya mwenzake kwenda na maji, je, Kamanda Sirro atathubutu kuchezea sharubu za simba?
 
Huu ni upuuzi. Kila pale ambapo huwa hawataki kushughulikia tatizo wanasema wahusika waende kituoni wakati ni kazi yao kufuatilia. Huu upuuzi kabisa kama wanavyosubiri mtu akalalamike kuhusu Makonda.
 
Hahaha hahaha ajikute tu...daudi endelea tu baba iba vyeti,chukua magari ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya, bambikia watu kesi, vamia maofisi na makanisa we si una tako bana endelea tu
Screenshot_2017-03-23-07-08-27.png
 
Kila mtu anayemgusa Makonda anaenda na maji.
Kweli ukimpiga mtoto lazima baba awe mkali.
 
Akipokea hayo malalamiko amekwisha lakini ni bora ufe kwa haki
 
Alishaambiwa "I wish, I could be" sidhan km anao huo uthubutu tn n nafac yake atayeyuka kabisaaaaa tusijue kapotelea wapi.

Vita n Vita muraaaaa
 
Back
Top Bottom