twenty2 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 296 Reaction score 33 Sep 20, 2011 #1 Kwa kufuatilia wengi wanasema simu inalinda penzi na wengine wanasema simu inabomoa penzi,je upi ni msemo wa kweli?nashindwa kuelewa,naombeni michango yenu.
Kwa kufuatilia wengi wanasema simu inalinda penzi na wengine wanasema simu inabomoa penzi,je upi ni msemo wa kweli?nashindwa kuelewa,naombeni michango yenu.
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,828 Reaction score 1,862 Sep 20, 2011 #3 mancy said: A na B yote sawa Click to expand...

Nakubuliana na wewe kabisa kwani simu inatumika sawasawa kwenye kulinda na pia kubomoa.
mancy said: A na B yote sawa Click to expand...

Nakubuliana na wewe kabisa kwani simu inatumika sawasawa kwenye kulinda na pia kubomoa.
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 883 Sep 20, 2011 #4 Yote ni sahihi. Inaweza kulinda au kubomoa kulingana na matumizi yake!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Sep 20, 2011 #5 inaongoza kwa kubomoa kuliko kujenga..
VoiceOfReason JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,194 Reaction score 1,375 Sep 20, 2011 #6 Kulinda au kubomoa sio makosa ya simu bali ni watumiaji.., tukianza kulaumu simu tutalaumu kila kitu
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,214 Sep 20, 2011 #7 Kifuatacho........kuilaumu intaneti VoiceOfReason said: Kulinda au kubomoa sio makosa ya simu bali ni watumiaji.., tukianza kulaumu simu tutalaumu kila kitu Click to expand...

Kifuatacho........kuilaumu intaneti VoiceOfReason said: Kulinda au kubomoa sio makosa ya simu bali ni watumiaji.., tukianza kulaumu simu tutalaumu kila kitu Click to expand...