Je sifa kuu ya Mungu ni UPWEKE ?

Je sifa kuu ya Mungu ni UPWEKE ?

raxx

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Posts
326
Reaction score
284
Wakuu hamjambo?

Moja kwa moja kwenye mada baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na conclusion kuwa huwenda sifa kuu ya Mungu wetu huyu ni Upweke.

Yaani ile Incredible Genius Mind , ile creativity capacity, ile mysterious capacity of doing things beyond Impossibility.

Sifa hizi zote za Mungu zinatokana na sifa kuu ya upweke wa Mungu( Umoja) (kukaa pekeake) kwa ma tilioni na ma tilioni ya miaka
 
If that's what you believe...., Imani yako kwa mujibu wako hata kama unaamini tunaishi kwenye ndoto na kila kilichopo sio kweli (Matrix)....

Ila tukienda kwa logic nadhani hata hayo maisha ya Peponi huenda kwa wengine ikawa ni Motoni..., Yaani hakuna demokrasia ni kuimba na kusifu tu..., Kwahio nikuulize kwa logic hiyo Je muumba ni wa kupenda kusifiwa ?
 
Kwanza sahihisha logic yako sababu umeandika kwa dhana na si uhalisia.
 
Huwezi kuwa na uhalisia katika Imani sababu ni Imani (kuamini) hakuna facts..., na kwasababu wengi wanaamini tofauti labda nikuulize wewe according to Imani yako peponi kuna nini ?

Kuna wanaoamini Peponi itakuwa hapa hapa duniani waliokufa wema watafufuliwa na ku-enjoy wakati walio lala watalala milele..., sasa hata hao ningewauliza enjoyment ni ipi ?

Kuna wanaoamini watapewa mabikra wa kutosha na kuoa wanawake lukuki (sasa sijui motive kwa wanawake ni ipi)..., Pia kuna wanaoamini ukiwa mtu mbaya ukifa utarudi kama kiumbe mwingine mfano myama au masikini au mtu duni (atleast hao wanatoa motive ya mtu kutenda mema na better life after death)

Wale wanaoamini moto kwa wabaya sijui wazuri watapewa nini..., ila life of doing the samething to infinity huenda isiwe Kosher kwa kila mtu...
 
Naona Moto na Pepo Unataka Kututoa Kwenye Mada Bado Hakuna Aliyethibitisha Au Kukanusha Upweke Wa Mungu

Mthibitishieni Hata Kama Ni Dhana Au Mkanushieni
 
Unathibitisha vipi Imani ? Na Mungu yupi ? Wa Mababu zetu wa Ibrahim au Krishna....

Yaani hapa kama tunataka kujijenga kifikra na kufikia hitimisho ni bora kumuongelea Shrodinger's Cat...
 
Ulivyowagawanya Washakuwa Wengi Tushapata Jibu Wewe Unakanusha Kwamba Sio Mungu Mmoja.

Na Aje Mwingine Tunasubiri
 
Ninachosema mimi hakiwezi kuwa kanuni kwa wengine (wahindi / hindu na wagiriki walikuwa wanaamini kwenye miungu wengi kwahio wao na wengine wanaoamini mmoja no-one is any wiser..., its just their belief...

Ila tukija kwenye facts na logic utaniita sababu hapo tunaweza kuzungumza on the same page with same terms and conditions na sio beliefs...
 
Mungu yupi unayemzungumzia?

Kama ni hawa Miungu wa dini za kikolon(Allah,Yesu,Yehova, krishna) na hawa Mizimu wa babu zetu basi hawa wako hivi

Wanasifa zoote za viumbe hai kama vile
Upweke
Kufa
Kuzaliwa
Hasira
Njaa
Kiu
Uzuni
Hekima
Wivu
Uuwaji
Kuonekana
Kuishi, na hii ndio sifa yao kuu maana wamejieleza ktk vitabu vya dini kuwa Miungu hawa wako mbingun, maana hiyo inamaanisha wanaishi na wako limited means that wameweza kuwa na sifa za mada(matter) kutake place in space, and that space has the Source or who made that, na huyo aliye make hiyo space ya makao ya Miungu si Mungu, kumaanisha kuwa hii Miungu yenu mnayoiabudu ina sifa kama binadamu haina nguvu kama inavyojinadi ktk vitabu vyao.

Ukweli mchungu.

Nje ya uwepo wa kila kitu, kuna NGUVU YA Asili, nguvu hii ndyo inayo control kila kitu dunian na nje ya dunia, na Nguvu hiyo ilikuwepo kabla ya maisha ya dunia na Universe kiujumla.

Nguvu hiyo ndyo iliyoleta maana halisi ya maisha kwa kuvumbua mionekano tofauti kulingana na ulimwengu, na unatakiwa kujua kuwa kuna limwengu nyiingi sana, naposema limwengu namaanisha uwingi wa makazi ya viumbe kulingana na Nguvu zao za kuhimili asili ya limwengu hiyo.

Limwengu hizo ni kama vile
1)ulimwengu wa mwili, haya ni makazi ya viumbe wenye nafsi,Roho na muonekano, yaan physical appearance(mwili) ama viumbe wa kimwil.

2)Ulimwengu wa nafsi, huu nao ni ulimwengu unique na uko tofaut na ulmwengu wa mwili, kwakuwa huu unachukuwa sifa za kutoruhusu miili kujipenyeza ama kutake any senses za huu ulimwengu, ikiwepo kuona ama kuhisi lolote litendekalo huko,isipoluwa kwa viumbe tu wa kinafsi, makao ya viumbe wa ulimwengu huu ni nafsi za watu/wanadamu

3)Ulimwengu wa Roho, huku ndiko chimbuko la viumbe woote, maana huku ndiko asili yao na makao ya roho zote, kuanzia Roho za watu, roho za mashetan,mapepo, malaika, na Miungu yoote ya dini zote iko ktk Makao haya ya ulimwengu wa roho ama dunia ama makazi ya roho.

4)Ulimwengu usiokuwepo, huu ndio mgumu na ndiko chanzo cha nguvu za uumbwaji wa limwengu zoote hizo na huku ktk limwengu hii zinaishi ama zinapatikana Nguvu za yule aliyefanya haya matabaka mbalimbali ya makazi ya viumbe vyoote.

NJE ya makazi ama malimwengu yote hayo ndipo sasa Alipo MUUMBA WA KWELI ambaye yuko mahala pasipo kuwepo, kumaanisha kuwa yuko sehemu ambayo haijaumbwa kwakuwa yeye ndie muumbaji hivyo hana sifa ya kuishi ama kuenea makazi ama ulimwengu wowote ule, nukuu hata kwa hizo fake bibles zinasema hapo mwanzo aliumba mbingu na nchi, je wakati anaumba huyo muumbaji alikuwa wapi? Na je kwann baadae mistari iliyojichakachuliwa inasema Mungu anaishi mbinguni je ndiye yule alieumba na kujiingiza ktk hayo makazi? Jibu ni hapana.

Ukwel uko hivi, Muumba wa kweli hana hisia zozote zile wala hana sifa zozote zile, kwahiyo, hawezi kuhisi, kuona kwakuwa hana macho, kuishi, kwakuwa yuko nje ya maisha(ulimwengu), kwahiyo yeye ndiye muanzilishi wa kila jambo, hafananishwi na lolote, hajawai onekana na hatowai onekana na kiumbe chochote kile maana yeye hayupo ktk makazi yoyote ya viumbe na hakuna kiumbe chochote kile kinachoweza kumuona, kwakuwa viumbe hivi havina uwezo wa kushift kutoka ktk makazi yao na kuhamia nje ya ulimwengu ama makazi yao.

Hivyo basi itoshe kusema Njia sahihi ya kumuelezea Muumba huyo ni kupitia ulimwengu wa 4 ambao ni ulimwengu wa makazi ya NGUVU ZAKE, nguvu hizi ndizo wale wahuni waliochakachua biblia wanaziita ROHO MTAKATIFU, huyu ROHO si MUUMBA bali ni madhihirisho ya utendaji wa MUUMBA kwa kuifanya nguvu yake kujidhihirisha ili kuendana na mazingira ya maisha ya kila ulimwengu, kwa mfano Muumba anatumia Nguvu hizo kujidhihirisha ktk ulimwengu wa Roho tofaut na ulimwengu wa nafsi hivo pia akitaka kujidhihirisha kwenye ulimwengu wa mwili, anatumia madhihirisho ya muonekano wa kiumbe chochote kile iwe mnyama ama umbo la mtu, ili aendane na uwepo wa maisha ya dunia, na hivyo kuweza kuwasilisha ujumbe wake kwa wakazi wa eneo hilo la ulimwengu wa mwili.

Itoshe kusema Muumba wa kweli anajidhihirisha ktk hali tofaut kulingana na ulimwengu na Nguvu hizo zinaFunction tofaut kulingana na ulimwengu.

Ukiona ktk dini yako unaabudu Nguvu ambayo iko limited yaan inasifa zifananazo na viumbe wanaoishi ktk malimwengu, basi jua unaabudu kitu wrong kiufupi unawaabudu wale fallen angels waliofake uhalisia kwa kuwadanganya watu then kujipa sifa ili waabudiwe kupitia dini.

Kiufupi dini zote mnawaabudu viumbe ambao ni mashetan ama malaika wahasi waliojipa majina mbalimbali ya vificho.

Mambo haya hutowai yakuta msikitini wala kanisani, maana waanzilishi wa dini waliyapiga vita ili kumfanya shetan awapige chapa watu wote, chapa hiyo ni 666 ama mafundisho ya uongo ya kidini.
 
Wakuu hamjambo?

Moja kwa moja kwenye mada baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na conclusion kuwa huwenda sifa kuu ya Mungu wetu huyu ni Upweke.

Yaani ile Incredible Genius Mind , ile creativity capacity, ile mysterious capacity of doing things beyond Impossibility.

Sifa hizi zote za Mungu zinatokana na sifa kuu ya upweke wa Mungu( Umoja) (kukaa pekeake) kwa ma tilioni na ma tilioni ya miaka
Wewe umezijuaje hizo sifa/umeyajuaje hayo ?
 
Duh
 
Mkuu umetililka aisee ngoja niendelee kuutafakal ujumbe wk ntalejea
 
Wakuu hamjambo?

Moja kwa moja kwenye mada baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na conclusion kuwa huwenda sifa kuu ya Mungu wetu huyu ni Upweke.

Yaani ile Incredible Genius Mind , ile creativity capacity, ile mysterious capacity of doing things beyond Impossibility.

Sifa hizi zote za Mungu zinatokana na sifa kuu ya upweke wa Mungu( Umoja) (kukaa pekeake) kwa ma tilioni na ma tilioni ya miaka
Kwa hiyo Mwenyezi Mungu unampa sifa za binadamu?
 
Wewe binadamu fanya yoote hapa duniani yaliyo mema ila imani yako na maombi yako siku zote yaelekeze Kwa Yule aliyekuumba wewe na anaekufanya uendelee kuishi Hadi Leo na huyo ndo mungu wako wa kweli ili siku zote usiwe na mashaka katika Imani yako usihusishe watakatifu wala kitu chochote kilichowahi kuishi hapa duniani hao wote waliumbwa kama wewe
 
roho zetu zote zimetoka kwa Mungu , kila kinachoonekana kinatoka kwa Mungu na kisicho onekana , huo upweke unatoka wap julma ya vyote hivyo ni sehemu ya Mungu na ni Mungu mwenyewe na vyote hujiconnect pamoja kiungu zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom