Je,si kwei kuwa Kikwete kaharibu future ya Ridhwan Kisiasa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,390
145,473
Leo hii watu waliokatishwa tamaa na utendaji wa raisi Kikwete, kesho na keshokutwa watakuwa tayari kweli kumuunga mkono mwane Ridhiwan endapo kuna siku nae atataka kwenda Ikulu kama ilivyo ndoto ya wanasiasa wengi?

Is the guy show or even bother to make any difference at the moment as MP?

Or, is it too early to make such assessment now?
 
Mtoto wa panya buku ni panya buku mtarajiwa. Kwa hiyo take caution nae zaidi maana yupo kidigital kuliko the old panya buku.
 
Kimsingi Ritz ndo anakufa kisiasa baada ya babake kutoka madarakani whether he likes it or not. Na sababu kuu si udhaifu wa babake ktk uongozi bali ni hizi zifuatazo:-
1. Kujikweza na kuvaa sura ya urais wa babake. Mtakumbuka nyuma huko kabla ya kuwekwa chini na wazee alikuwa akitolea ufafanuzi baadhi ya shutuma zinazoelekezwa kwenye familia ya Kikwete na Ritz mwenyewe. Pia alikuwa akitoa matamko mbalimbali kana kwamba yeye ndiye mwenye taifa hili. Mfano rais ajaye hatatokea mikoa ya kaskazini.
2. Utajiri wa kutupa alio nao. Huyu Ritz kamaliza chuo 2005, ni miaka 9 tu imepita tangu kumaliza masomo ya shahada ya 1. Lakini ana utajiri ulio sheheni mambo mazito, mfano amejaza vituo vya mafuta barabara zote unazozijua wewe, yeye ndiye mzalishaji na muuzaji wa nishati ya umeme visiwa vya Komoro, ana malori na ma-semitrailer zaidi ya 2000 safari zake ni DRC na Rwanda ana majumba ni balaa.
Haya yatamnyima kura hata ya ubunge baada ya babake kuachia uenyekiti wa ccm.
 
Hata pale Bungeni wapo wale Wabunge "pangu pakavu tia mchuzi" utwaona wanajipendekeza sana kwa Riz1 lakini nina uhakika kuwa baada ya Dingi kuondoka hawatamfata tena. Tena kama atapata bahati ya kurudi tena mjengoni.
 
Leo hii watu waliokatishwa tamaa na utendaji wa raisi Kikwete, kesho na keshokutwa watakuwa tayari kweli kumuunga mkono mwane Ridhiwan endapo kuna siku nae atataka kwenda Ikulu kama ilivyo ndoto ya wanasiasa wengi?

Or, is it too early to make such assessment now?

jadili na mkeo huu utumbo wako,sisi tunataka tujadili facts na si utumbo
 
Leo hii watu waliokatishwa tamaa na utendaji wa raisi Kikwete, kesho na keshokutwa watakuwa tayari kweli kumuunga mkono mwane Ridhiwan endapo kuna siku nae atataka kwenda Ikulu kama ilivyo ndoto ya wanasiasa wengi?

Is the guy show or even bother to make any difference at the moment as MP?

Or, is it too early to make such assessment now?
Mdogo ake mbowe ambaye alikuwa Katibu mkuu bavicha ndio amepotea rasmi kwenye ramani ya siasa za bongo. Ameishia kubadili badili majina mara munishi mara aikael siku ya mwisho ukweli umedhihiri....
 
Hivi mtu kama slaa ambaye ni mzinzi kupindukia anawaandalia future gani watoto wake...nani atawaheshimu watoto wa zinaa
 
Hana jinsi ya kutenga harakati zake kisiasa na urais wa baba yake, tofauti na watoto wa wazee kama Kawawa nk yeye nguvu kubwa iko kwenye pesa badala ya ushawishi wa kisiasa.
Ndio maana bunge lililopita sina hakika hata kama alichangia hata mara moja maana mjadala mkubwa ulikuwa ni ufisadi ambao wengine wanamtuhumu nao!
 
Unamuonea...alichangia alisema "Bunge lisiingilie serikali, kupendekeza kufukuza wateule wa Rais sio jukumu la Bunge"

Huyu dogo bure kabisa
 
Back
Top Bottom