Wakuu na wanasheria mlioko humu naomba msaada kuuliza hivi sheria ya hotel levy kwenye magest bado ipo? Mbona kama nilisikia mwaka jana(2017) bungeni ilifutwa na serikali.
Sheria alikuwa inataka kila mwenye guest house alipa asilimia 10% ya mapato ya kila mwezi na kuyawasilisha halmashauri au manispaa.
Msaada tafadhali.
Aiseee, mimi mwenyewe nilisikia hivyo, sasa siku naenda kukata leseni mpya yaliyonikuta ni majuto, deni na penati zake, na kwa sasa ikifika tarehe 7 hauajalipa faini pekee sh laki 2 kwa mwezi, manispaa ya ubungo
Aiseee, mimi mwenyewe nilisikia hivyo, sasa siku naenda kukata lisen mpya yaliyonikuta ni majuto, deni na penati zake, na kwa sasa ikifika tarehe 7 hauajalipa fain pekee sh laki 2 kwa mwezi, manispaa ya ubungo