Je sheria inaruhusu dent kuwekwa ndani police

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
2,264
4,702
Kuna mwanafunzi ameiba kamera yangu ya mil2, yupo form3 ana miaka18, sasa nataka kumkamata nimweke ndani, nataka nikachukue RB. Sasa sijajua kama sheria inaruhusu avk
 
Sasa mkuu kama sheria ingekuwa hairuhusu wezi wote si wangekuwa wanaenda kujiandikisha shule ili wapate hiyo kinga
 
Back
Top Bottom