Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Nini kinakufanya uamini hivyo Mzee? yaani Zanzibar iliingia kwenye muungano kulinda mapinduzi?Katika kuyalinda mapinduzi hayo Zanzibar ikaingia/ingizwa katika Muungano wa TAnganyika ambao ni nchi kubwa yenye uwezo mkubwa na hivyo kuyaweka salama mapinduzi yale. Kwa miaka karibu hamsini sasa mapinduzi ya Zanzibar yamelindwa zaidi na uwepo wa Muungano. Nje ya Muungano - wapo ambao tunaamini hivyo - mapinduzi ya Zanzibar hayasalimiki - tishio lake bado likiwa dhahiri kama lilivyokuwa 1964 au 1972 kufuatia mauaji ya Abeid Karume.
....
Binafsi siupendi muungano na hizi ndizo sababu zangu
Moja: Mimi Mtanganyika, siruhusiwi kisheria kumiliki ardhi ndani ya Zanzibar! Wao wanaruhusiwa kuja huku kwetu kumiliki ardhi, Muungano kwa hilo haunisaidii, unanidhulumu.
Mbili: Mzanzibar anakuwa subsidized kwenye bili yake ya Umeme wa TANESCO wakati Zanzibar hawazalishi umeme, na wamekataa kuilipa TANESCO, na TANESCO ime capitulate ili "kulinda Muungano." Kwa hiyo bill yangu ya umeme ni kubwa kuliko ya Mzanzibar wakati Umeme unatoka kwetu. Dhulma nyingine kwa Mtanganyika.
Tatu: Wazanzibar wana uwakilishi usioendana na uwiano wa watu. Kuna Wazanzibar milioni moja na ushee, kuna Watanganyika milioni arobain na ushee. Haiwezekani wakapewa wabunge 75! Watu wachache wanakuwa na sauti kubwa zaidi ya maamuzi. Katika mifumo ya kidemokrasia duniani kuna msingi mmoja unaoitwa "one man one vote" ukiwa na maana kwamba makundi ya wa watu wenye idadi inayokaribia kuwa sawa lazima yawe na wawakilishi wenye idadi inayokaribia kuwa sawa. Kuwezi kuwa na watu milioni moja wana wabunge 75! Hii ni dhulma kwa Tanganyika.
Nne: Sasa hivi Tanzania kuna marais watano, Shein, Iddi, Kikwete, Hamad, na Billal! Tanganyika inabeba mzigo mkubwa kuhudumia viongozi wa juu wa nchi, madarakani na wastaafu, waliojaa kutokana na muungano. Na familia za viongozi wa Kizanzibar za wake wengi wengi ( Billal, Mwinyi) zinatuongezea mzigo usio na sababu. Tunawahudumia mpaka wafe! Mzigo!
Tano: kutokana na mipaka ya mamlaka ya pande mbili za Muungao kutokuwa delineated, Wazanzibar wamo kwenye uongozi katika maeneo ambayo si ya Muungano, mfano Waziri Mwinyi, Afya. Kero!
Sita: Wabunge wa Zanzibar wanapokea posho kukaa kwenye vikao ambavyo haviwahusu, mambo ambayo si ya Muungano. Hasara!
Saba: kuna tofauti za kijamii na kitamaduni kati ya sehemu hizi mbili zinazosababisha maambukizi ya dhana za kijamii ambazo kwetu Bara zinaleta tatizo, na mwishowe utakuja ugaidi kutokea Zanzibar.
Mfano, Mbunge wa Zanzibar - bora angekuwa wa Bara - Mbunge wa Zanzibar alisimama Bungeni akauliza ni lini Tanganyika itakuja mahakama ya kiislamu. Sasa Zanzibar kuna Mahakama ya Kadhi, Zanzibar is a predominantly Muslim region, ndo maana unaweza kuchoma Kanisa Zanzibar with impunity, bila adhabu, kwa hiyo haina tatizo ukiwa na Mahakama ya Kiislamu kwenye nchi ambayo watu wake ni Waislam anyway. Sasa huku Bara, Mahakama ya Kislamu itakuwepo katika utaratibu gani ambapo nusu ama zaidi ya nusu ya watu ni Wakristo? Hapa kuna tofauti za kijamii ambazo Zanzibar wanataka kuziambukiza Bara. Kwa hiyo, kama ugaidi wa Wahabi extremism utakuja Tanzania, utatokea Zanzibar!
Nane:Zanzibar haichangii chochote kwenye uchumi wa Tanzania. Zanzibar ina uchumi mdogo kupita wilaya ya Kahama, ndani ya Shinyanga! Na siwalaumu manake hakuna kitu! Sasa, unaniuliza, Mtwara inachangia kwenye uchumi sawa na Shinyanga ambapo kuna Kahama? Na jibu lake ni la hasha, lakini Mtwara wala Mwanza hawajajitangaza kwamba wao ni nchi! Ndio maana hatuulizani huku Bara eti wewe wa Mtwara unachangia nini kulinganisha na Mbeya? Hapana, kwa sababu Mbeya na Mtwara na Shinyanga na Mwanza, yote ni mikoa ya Watanzania! Zanzibar nayo, kwa vile inabebwa, ilibidi iwe mkoa!
Tisa: Zanzibar wanapewa "affirmative action" quotas kwenye nafasi za elimu ya juu pamoja na uongozi. Zanzibar hawana chuo kikuu cha maana, kwa hiyo inabidi kuwatengea nafazi kwenye vyuo vyetu, hali kadhalika kwenye nafasi za uongozi, uwaziri, ubalozi n.k. Kwa hiyo ni raisi zaidi kupata nafasi za elimu na za uongozi ukiwa unatokea Zanzibar. Na hauhitaji elimu za juu saaana kufika mbali kama wewe ni Mzanzibar. Na Mtanganyika ukitaka kupanda ngazi haraka, jifanye Mzanzibar (Jaji Augustino Ramadhani, Rais Mwinyi!) Hii si haki.
Kumi: Wabara na tamaduni zetu na dini zetu hatutakiwi Zanzibar, Zanzibar wanafukuza Watanganyika, wanachoma makanisa, wanachoma visu wenye ma baa ya pombe, which begs the question why give them liquor license in the first place? Unapopewa leseni ya kuanzisha kanisa au ya biashara ya kuuza pombe na unailipia fees zote na kodi ni lazima upate ulinzi na msaada wa serikali. Lakini hakuna anaechukuliwa hatua kwa mateso ya Watanganyika visiwani. Muungano wa nini hapo?
Kumi na moja: Hakuna kiongozi ama mtu yeyote aliyeko tayari kutuambia faida za Muungano ili tuweze kupima bora ni kipi. Ukiuliza faida za Muungano, unaambiwa sisi na Wanzazibar tuna historia ya udugu. Really? Historia! Sio mustakabali,historia! Wakenya hatuna historia na udugu nao? Angalau Kenya tuna share asili ya "uweusi," Zanzibar wengi asili yao Waarabu! Kama ni udugu tuungane na Kenya basi?! Na kama tuna asili ya udugu na Wazanzibar mbona chokochoko haziishi toka tuungane, kwa nini ni Muungano wa kuvutana? Maana tuna natural connections, udugu, nilitegemea Muungano uwe seamless! Hakuna anaejua faida. "tutajieni hasara zake na sisi ndio tutataja faida zake..."
Kumi na mbili: Wazanzibar kwanza ni wanafiki pili hawana shukrani au wanaona hakuna cha kushukuru. Wanafiki kwa sababu hawataki Muungano lakini Tundu Lissu aliposimama bungeni kuu lambast Muungano Wazanzibar wakalia wakamlaani. Ni kama mke ambae hakutaki lakini anaogopa kwenda kuanza maisha mwenyewe! Hawana shukrani kwa sababu Wamejaa Kariakoo, Namanga, Ilala, Buguruni, all over the place wanafanya shughuli zao hakuna anaewaghasi, lakini wao ndio wa kwanza kutu distract na kelele za kutotaka Muungano, sasa kwa nini tuwabebe watu ambao hawaoni wanachohisaniwa? Ni sawa na binadamu na Punda wake. Binadamu anadai shukrani kwa kumtunza Punda, Punda yeye anaona umempandia mgongoni, shukrani ya nini? Anakupiga mateke. Basi haina haja kubebana migongoni wala kupigana mateke, tutengane!
Kumi na tatu: Katika mapendekezo ya marekebisho ya Muungano hakuna structural formulation ambayo ni viable au haipingwi. Serikali moja inapingwa Zanzibar. Hawatakubali yagudu! Serikali tatu sio fiscally feasible, haiwezekani, Tanzania ni nchi ndogo sana kuwa na serikali tatu. Sasa hivi tuna marais na makamu wao watano, na mawaziri wa Bara na Visiwani karibu 80, kwa serikali mbili. Tukiwa na serikali tatu tutakuwa na maraisi kumi na mawaziri mia mbili? Ni mzigo wa gharama. Serikali mbili ndio tutarudi hapa hapa tulipo! Ridiculous.
Kingine katika mapendekezo ya formulation ya Muungano mpya ambacho hakiwezekaniki, ni kwamba Zanzibar wanataka uhuru zaidi. Wanadai, kwa mfano, autonomy kwenye Mambo ya nje. Kama vile, waingine EA Community kivyao, au FIFA, au OIC, kivyao. Wanataka na mfumo wao wa kodi. Na Benki Kuu. Na Bandari. Na elimu ya juu. Na jeshi pia wanahoji, kwa nini dola yao haina jeshi. Sasa swali, ni je, kama kila kitu tunataka kila mtu awe kivyake, Muungano wa nini sasa? Hahahahaa....
Kumi na nne: Zanzibar wana Baraza la Wawakilishi, na wana Wabunge Dodoma. Wale wabunge 75 wa Zanzibar pale Dodoma wana ongeza mzigo kwa nchi! Zanzibar ingetosha kuwa na wabunge watano tu! Unguja na Pemba jumla yake inaingia mara tano ndani ya Masasi na Nachingwea! Ambazo ni wilaya ndogo sana ndani ya Mtwara, mkoa mdogo kupita yote Tanganyika ukiondoa Dar-es-Salaam. Mzigo!
Kumi na tano: Tanzania kuna TRA na Zanzibar kuna ZRB. Mbongo ukifanya biashara Zanzibar unakong'otwa kodi TRA na ZRB. Kwa nini kila mtu asiwe na sarafu yake na mambo yake?
Kumi na sita: Zanzibar wana bendera yao, wana Rais wao, wana timu yao ya mpira, wana bunge lao, wana nembo yao. Muungano gani huo wenzetu wana bendera, Tanganyika kwa nini hatuna bendera, hatuna bunge letu, hatuna Rais wetu?
Kumi na saba: Ukikutana na Mzanzibar nchi za nje yeye anaji identify kama Mzanzibar. Lakini kamwe mimi siji identify kama m-Mtwara au Mmakonde. Mtanzania kwanza, umakonde wangu baadae. Hawa Wazanzibaar hawajisikii kama wenzetu, kwa hiyo hata akiwa anatangaza nchi yetu hatawaambiwa watu "Karibuni Tanzania," atasema "Karibuni Zanzibar." Mimi nikiwa nje ya nchi nataka kuwavutia watu siwaambii karibuni Mtwara! Natangaza Tanzania yetu. Wazanzibar hawafanyi hivyo, si wenzetu!
Kumi na nane: Mzanzibar ana haki ya absentee balot ambayo mimi sina. Kwa nini? Mimi siruhusiwi kupiga kura nikiwa Zanzibar eti nachagua Mbunge wa Bara au Rais, sheria ya Zanzibar hainitambui, sheria ya Zanzibar ime define nani Mzanzibar na nani sio! Lakini Rais Shein alipiga kura yake kugombea Urais wa Zanzibar akiwa Bara, how come? What the ....?! Usawa uko wapi?
Kumi na tisa: Zanzibar hawataki kugawana potential ya chochote walichonacho. Mtafiti mmoja kawaambia kuna mafuta. Dooooo! Balaa! Ikawa "Hatutaki Muungano! Hatutaki Muungano!" kisa? Mafuta! Potential ya mafuta! Basi waachwe waende zao na mafuta yao na ka nchi kao, tutatua mzigo mkubwa mno.
Ishirini: HATI YA MUUNGANO IKO WAPI? Kwa nini Muungano umejaa usiri na ukiuliza unatiwa kizuizini? (Hamad, Jumbe, Doorado n.k.) The only evidence of the union treaty which is being prolmugated ni kiambatanishi kilichowekwa kama adendum kwenye Union Act of 1964, ambacho kilichakachuliwa kabla ya kuchapishwa! The original hati ya Muungano imeteketezwa!
Hati ina umuhimu gani? Well, kwa sababu Muungano hauna solid legal foundation (Hati ya Muungano wala kura ya maoni wala sheria ya Baraza la Wawakilishi ya kuridhia Muungano) chokochoko zitokanazo hazitaisha, zitaendelea kula national attention ya nchi na kutu distract, kututoa kwenye focus ya mambo muhimu, tunabaki tunaongelea Zanzibar, Muungano, Zanzibar, Muungano kila siku wakati ni sehemu ndogo tu ya Tanzania. Wakati hauna faida yeyote, hasara tupu.
Siutaki Muungano.
.Binafsi siupendi muungano na hizi ndizo sababu zangu
Chokochoko zitokanazo hazitaisha, zitaendelea kula national attention ya nchi na kutu distract, kututoa kwenye focus ya mambo muhimu, tunabaki tunaongelea Zanzibar, Muungano, Zanzibar, Muungano kila siku wakati ni sehemu ndogo tu ya Tanzania. Wakati hauna faida yeyote, hasara tupu.
Siutaki Muungano.
Edson,
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Zaidi nimeprint ili niwe nasoma mara kwa mara. Bravo. Hatuwezi kujadili muungano kila siku utadhani mapato ya Tanzania kwa asilimia 90% yanatokana na Muungano. Kumbe hasara ni nyingi.
hawa jamaa wanachokidai faida yake ni ndogo kuliko hasara...kwa tetesi zilizopo za matajiri wa OMAN kufadhili harakati za uamsho ,ina maana waarabu bado wana ndoto za kurudi zanzibar na watarudi tuu ..time will tell
Kaka Edson, naona mawazo yetu yanafanana neno kwa neno, inabidi tuanzishe chama chetu, na ukienda kuuza makala huko tafadhali nikumbuke kwenye ujira wa mwiha. Siku chache zilizopita niliandika hivi:Binafsi siupendi muungano na hizi ndizo sababu zangu
Moja: Mimi Mtanganyika, siruhusiwi kisheria kumiliki ardhi ndani ya Zanzibar! Wao wanaruhusiwa kuja huku kwetu kumiliki ardhi, Muungano kwa hilo haunisaidii, unanidhulumu.
Mbili: Mzanzibar anakuwa subsidized kwenye bili yake ya Umeme wa TANESCO wakati Zanzibar hawazalishi umeme, na wamekataa kuilipa TANESCO, na TANESCO ime capitulate ili "kulinda Muungano." Kwa hiyo bill yangu ya umeme ni kubwa kuliko ya Mzanzibar wakati Umeme unatoka kwetu. Dhulma nyingine kwa Mtanganyika.
Tatu: Wazanzibar wana uwakilishi usioendana na uwiano wa watu. Kuna Wazanzibar milioni moja na ushee, kuna Watanganyika milioni arobain na ushee. Haiwezekani wakapewa wabunge 75! Watu wachache wanakuwa na sauti kubwa zaidi ya maamuzi. Katika mifumo ya kidemokrasia duniani kuna msingi mmoja unaoitwa "one man one vote" ukiwa na maana kwamba makundi ya wa watu wenye idadi inayokaribia kuwa sawa lazima yawe na wawakilishi wenye idadi inayokaribia kuwa sawa. Kuwezi kuwa na watu milioni moja wana wabunge 75! Hii ni dhulma kwa Tanganyika.
Nne: Sasa hivi Tanzania kuna marais watano, Shein, Iddi, Kikwete, Hamad, na Billal! Tanganyika inabeba mzigo mkubwa kuhudumia viongozi wa juu wa nchi, madarakani na wastaafu, waliojaa kutokana na muungano. Na familia za viongozi wa Kizanzibar za wake wengi wengi ( Billal, Mwinyi) zinatuongezea mzigo usio na sababu. Tunawahudumia mpaka wafe! Mzigo!
Tano: kutokana na mipaka ya mamlaka ya pande mbili za Muungao kutokuwa delineated, Wazanzibar wamo kwenye uongozi katika maeneo ambayo si ya Muungano, mfano Waziri Mwinyi, Afya. Kero!
Sita: Wabunge wa Zanzibar wanapokea posho kukaa kwenye vikao ambavyo haviwahusu, mambo ambayo si ya Muungano. Hasara!
Saba: kuna tofauti za kijamii na kitamaduni kati ya sehemu hizi mbili zinazosababisha maambukizi ya dhana za kijamii ambazo kwetu Bara zinaleta tatizo, na mwishowe utakuja ugaidi kutokea Zanzibar.
Mfano, Mbunge wa Zanzibar - bora angekuwa wa Bara - Mbunge wa Zanzibar alisimama Bungeni akauliza ni lini Tanganyika itakuja mahakama ya kiislamu. Sasa Zanzibar kuna Mahakama ya Kadhi, Zanzibar is a predominantly Muslim region, ndo maana unaweza kuchoma Kanisa Zanzibar with impunity, bila adhabu, kwa hiyo haina tatizo ukiwa na Mahakama ya Kiislamu kwenye nchi ambayo watu wake ni Waislam anyway. Sasa huku Bara, Mahakama ya Kislamu itakuwepo katika utaratibu gani ambapo nusu ama zaidi ya nusu ya watu ni Wakristo? Hapa kuna tofauti za kijamii ambazo Zanzibar wanataka kuziambukiza Bara. Kwa hiyo, kama ugaidi wa Wahabi extremism utakuja Tanzania, utatokea Zanzibar!
Nane:Zanzibar haichangii chochote kwenye uchumi wa Tanzania. Zanzibar ina uchumi mdogo kupita wilaya ya Kahama, ndani ya Shinyanga! Na siwalaumu manake hakuna kitu! Sasa, unaniuliza, Mtwara inachangia kwenye uchumi sawa na Shinyanga ambapo kuna Kahama? Na jibu lake ni la hasha, lakini Mtwara wala Mwanza hawajajitangaza kwamba wao ni nchi! Ndio maana hatuulizani huku Bara eti wewe wa Mtwara unachangia nini kulinganisha na Mbeya? Hapana, kwa sababu Mbeya na Mtwara na Shinyanga na Mwanza, yote ni mikoa ya Watanzania! Zanzibar nayo, kwa vile inabebwa, ilibidi iwe mkoa!
Tisa: Zanzibar wanapewa "affirmative action" quotas kwenye nafasi za elimu ya juu pamoja na uongozi. Zanzibar hawana chuo kikuu cha maana, kwa hiyo inabidi kuwatengea nafazi kwenye vyuo vyetu, hali kadhalika kwenye nafasi za uongozi, uwaziri, ubalozi n.k. Kwa hiyo ni raisi zaidi kupata nafasi za elimu na za uongozi ukiwa unatokea Zanzibar. Na hauhitaji elimu za juu saaana kufika mbali kama wewe ni Mzanzibar. Na Mtanganyika ukitaka kupanda ngazi haraka, jifanye Mzanzibar (Jaji Augustino Ramadhani, Rais Mwinyi!) Hii si haki.
Kumi: Wabara na tamaduni zetu na dini zetu hatutakiwi Zanzibar, Zanzibar wanafukuza Watanganyika, wanachoma makanisa, wanachoma visu wenye ma baa ya pombe, which begs the question why give them liquor license in the first place? Unapopewa leseni ya kuanzisha kanisa au ya biashara ya kuuza pombe na unailipia fees zote na kodi ni lazima upate ulinzi na msaada wa serikali. Lakini hakuna anaechukuliwa hatua kwa mateso ya Watanganyika visiwani. Muungano wa nini hapo?
Kumi na moja: Hakuna kiongozi ama mtu yeyote aliyeko tayari kutuambia faida za Muungano ili tuweze kupima bora ni kipi. Ukiuliza faida za Muungano, unaambiwa sisi na Wanzazibar tuna historia ya udugu. Really? Historia! Sio mustakabali,historia! Wakenya hatuna historia na udugu nao? Angalau Kenya tuna share asili ya "uweusi," Zanzibar wengi asili yao Waarabu! Kama ni udugu tuungane na Kenya basi?! Na kama tuna asili ya udugu na Wazanzibar mbona chokochoko haziishi toka tuungane, kwa nini ni Muungano wa kuvutana? Maana tuna natural connections, udugu, nilitegemea Muungano uwe seamless! Hakuna anaejua faida. "tutajieni hasara zake na sisi ndio tutataja faida zake..."
Kumi na mbili: Wazanzibar kwanza ni wanafiki pili hawana shukrani au wanaona hakuna cha kushukuru. Wanafiki kwa sababu hawataki Muungano lakini Tundu Lissu aliposimama bungeni kuu lambast Muungano Wazanzibar wakalia wakamlaani. Ni kama mke ambae hakutaki lakini anaogopa kwenda kuanza maisha mwenyewe! Hawana shukrani kwa sababu Wamejaa Kariakoo, Namanga, Ilala, Buguruni, all over the place wanafanya shughuli zao hakuna anaewaghasi, lakini wao ndio wa kwanza kutu distract na kelele za kutotaka Muungano, sasa kwa nini tuwabebe watu ambao hawaoni wanachohisaniwa? Ni sawa na binadamu na Punda wake. Binadamu anadai shukrani kwa kumtunza Punda, Punda yeye anaona umempandia mgongoni, shukrani ya nini? Anakupiga mateke. Basi haina haja kubebana migongoni wala kupigana mateke, tutengane!
Kumi na tatu: Katika mapendekezo ya marekebisho ya Muungano hakuna structural formulation ambayo ni viable au haipingwi. Serikali moja inapingwa Zanzibar. Hawatakubali yagudu! Serikali tatu sio fiscally feasible, haiwezekani, Tanzania ni nchi ndogo sana kuwa na serikali tatu. Sasa hivi tuna marais na makamu wao watano, na mawaziri wa Bara na Visiwani karibu 80, kwa serikali mbili. Tukiwa na serikali tatu tutakuwa na maraisi kumi na mawaziri mia mbili? Ni mzigo wa gharama. Serikali mbili ndio tutarudi hapa hapa tulipo! Ridiculous.
Kingine katika mapendekezo ya formulation ya Muungano mpya ambacho hakiwezekaniki, ni kwamba Zanzibar wanataka uhuru zaidi. Wanadai, kwa mfano, autonomy kwenye Mambo ya nje. Kama vile, waingine EA Community kivyao, au FIFA, au OIC, kivyao. Wanataka na mfumo wao wa kodi. Na Benki Kuu. Na Bandari. Na elimu ya juu. Na jeshi pia wanahoji, kwa nini dola yao haina jeshi. Sasa swali, ni je, kama kila kitu tunataka kila mtu awe kivyake, Muungano wa nini sasa? Hahahahaa....
Kumi na nne: Zanzibar wana Baraza la Wawakilishi, na wana Wabunge Dodoma. Wale wabunge 75 wa Zanzibar pale Dodoma wana ongeza mzigo kwa nchi! Zanzibar ingetosha kuwa na wabunge watano tu! Unguja na Pemba jumla yake inaingia mara tano ndani ya Masasi na Nachingwea! Ambazo ni wilaya ndogo sana ndani ya Mtwara, mkoa mdogo kupita yote Tanganyika ukiondoa Dar-es-Salaam. Mzigo!
Kumi na tano: Tanzania kuna TRA na Zanzibar kuna ZRB. Mbongo ukifanya biashara Zanzibar unakong'otwa kodi TRA na ZRB. Kwa nini kila mtu asiwe na sarafu yake na mambo yake?
Kumi na sita: Zanzibar wana bendera yao, wana Rais wao, wana timu yao ya mpira, wana bunge lao, wana nembo yao. Muungano gani huo wenzetu wana bendera, Tanganyika kwa nini hatuna bendera, hatuna bunge letu, hatuna Rais wetu?
Kumi na saba: Ukikutana na Mzanzibar nchi za nje yeye anaji identify kama Mzanzibar. Lakini kamwe mimi siji identify kama m-Mtwara au Mmakonde. Mtanzania kwanza, umakonde wangu baadae. Hawa Wazanzibaar hawajisikii kama wenzetu, kwa hiyo hata akiwa anatangaza nchi yetu hatawaambiwa watu "Karibuni Tanzania," atasema "Karibuni Zanzibar." Mimi nikiwa nje ya nchi nataka kuwavutia watu siwaambii karibuni Mtwara! Natangaza Tanzania yetu. Wazanzibar hawafanyi hivyo, si wenzetu!
Kumi na nane: Mzanzibar ana haki ya absentee balot ambayo mimi sina. Kwa nini? Mimi siruhusiwi kupiga kura nikiwa Zanzibar eti nachagua Mbunge wa Bara au Rais, sheria ya Zanzibar hainitambui, sheria ya Zanzibar ime define nani Mzanzibar na nani sio! Lakini Rais Shein alipiga kura yake kugombea Urais wa Zanzibar akiwa Bara, how come? What the ....?! Usawa uko wapi?
Kumi na tisa: Zanzibar hawataki kugawana potential ya chochote walichonacho. Mtafiti mmoja kawaambia kuna mafuta. Dooooo! Balaa! Ikawa "Hatutaki Muungano! Hatutaki Muungano!" kisa? Mafuta! Potential ya mafuta! Basi waachwe waende zao na mafuta yao na ka nchi kao, tutatua mzigo mkubwa mno.
Ishirini: HATI YA MUUNGANO IKO WAPI? Kwa nini Muungano umejaa usiri na ukiuliza unatiwa kizuizini? (Hamad, Jumbe, Doorado n.k.) The only evidence of the union treaty which is being prolmugated ni kiambatanishi kilichowekwa kama adendum kwenye Union Act of 1964, ambacho kilichakachuliwa kabla ya kuchapishwa! The original hati ya Muungano imeteketezwa!
Hati ina umuhimu gani? Well, kwa sababu Muungano hauna solid legal foundation (Hati ya Muungano wala kura ya maoni wala sheria ya Baraza la Wawakilishi ya kuridhia Muungano) chokochoko zitokanazo hazitaisha, zitaendelea kula national attention ya nchi na kutu distract, kututoa kwenye focus ya mambo muhimu, tunabaki tunaongelea Zanzibar, Muungano, Zanzibar, Muungano kila siku wakati ni sehemu ndogo tu ya Tanzania. Wakati hauna faida yeyote, hasara tupu.
Siutaki Muungano.
Moja: Mimi Mtanganyika, siruhusiwi kisheria kumiliki ardhi ndani ya Zanzibar! Wao wanaruhusiwa kuja huku kwetu kumiliki ardhi, Muungano kwa hilo haunisaidii, unanidhulumu.
Mbili: Mzanzibar anakuwa subsidized kwenye bili yake ya Umeme wa TANESCO wakati Zanzibar hawazalishi umeme, na wamekataa kuilipa TANESCO, na TANESCO ime capitulate ili "kulinda Muungano." Kwa hiyo bill yangu ya umeme ni kubwa kuliko ya Mzanzibar wakati Umeme unatoka kwetu. Dhulma nyingine kwa Mtanganyika.
Tatu: Wazanzibar wana uwakilishi usioendana na uwiano wa watu. Kuna Wazanzibar milioni moja na ushee, kuna Watanganyika milioni na tano na ushee. Haiwezekani wakapewa wabunge 75! Watu wachache wanakuwa na sauti kubwa zaidi ya maamuzi. Katika mifumo ya kidemokrasia duniani kuna msingi mmoja unaoitwa "one man one vote" ukiwa na maana kwamba makundi ya wa watu wenye idadi inayokaribia kuwa sawa lazima yawe na wawakilishi wenye idadi inayokaribia kuwa sawa. Kuwezi kuwa na watu milioni moja wana wabunge 75! Hii ni dhulma kwa Tanganyika.
Nne: Sasa hivi Tanzania kuna marais watano, Shein, Iddi, Kikwete, Hamad, na Billa! Tanganyika inabeba mzigo mkubwa kuhudumia viongozi wa juu wa nchi, madarakani na wastaafu, waliojaa kutokana na muungano. Na familia za viongozi wa Kizanzibar za wake wengi wengi ( Billa, Mwinyi) zinatuongezea mzigo usio na sababu. Tunawahudumia mpaka wafe! Mzigo!
Tano: kutokana na mipaka ya mamlaka ya pande mbili za Muungao kutokuwa delineated, Wazanzibar wamo kwenye uongozi katika maeneo ambayo si ya Muungano, mfano Waziri Mwinyi, Afya. Kero!
Sita: Wabunge wa Zanzibar wanapokea posho kukaa kwenye vikao ambavyo haviwahusu, mambo ambayo si ya Muungano. Hasara!
Saba: kuna tofauti za kijamii na kitamaduni kati ya sehemu hizi mbili zinazosababisha maambukizi ya dhana za kijamii ambazo kwetu Bara zinaleta tatizo, na mwishowe utakuja ugaidi kutokea Zanzibar.
Mfano, Mbunge wa Zanzibar - bora angekuwa wa Bara - Mbunge wa Zanzibar alisimama Bungeni akauliza ni lini Tanganyika itakuja mahakama ya kiislamu. Sasa Zanzibar kuna Mahakama ya Kadhi, Zanzibar is a predominantly Muslim region, ndo maana unaweza kuchoma Kanisa Zanzibar with impunity, bila adhabu, kwa hiyo haina tatizo ukiwa na Mahakama ya Kiislamu kwenye nchi ambayo watu wake ni Waislam anyway. Sasa huku Bara, Mahakama ya Kislamu itakuwepo katika utaratibu gani ambapo nusu ama zaidi ya nusu ya watu ni Wakristo? Hapa kuna tofauti za kijamii ambazo Zanzibar wanataka kuziambukiza Bara. Kwa hiyo, kama ugaidi wa Wahabi extremism utakuja Tanzania, utatokea Zanzibar!
Nane:Zanzibar haichangii chochote kwenye uchumi wa Tanzania. Zanzibar ina uchumi mdogo kupita wilaya ya Kahama, ndani ya Shinyanga! Na siwalaumu manake hakuna kitu! Sasa, unaniuliza, Mtwara inachangia kwenye uchumi sawa na Shinyanga ambapo kuna Kahama? Na jibu lake ni la hasha, lakini Mtwara wala Mwanza hawajajitangaza kwamba wao ni nchi! Ndio maana hatuulizani huku Bara eti wewe wa Mtwara unachangia nini kulinganisha na Mbeya? Hapana, kwa sababu Mbeya na Mtwara na Shinyanga na Mwanza, yote ni mikoa ya Watanzania! Zanzibar nayo, kwa vile inabebwa, ilibidi iwe mkoa!
Tisa: Zanzibar wanapewa "affirmative action" quotas kwenye nafasi za elimu ya juu pamoja na uongozi. Zanzibar hawana chuo kikuu cha maana, kwa hiyo inabidi kuwatengea nafazi kwenye vyuo vyetu, hali kadhalika kwenye nafasi za uongozi, uwaziri, ubalozi n.k. Kwa hiyo ni raisi zaidi kupata nafasi za elimu na za uongozi ukiwa unatokea Zanzibar. Na hauhitaji elimu za juu saaana kufika mbali kama wewe ni Mzanzibar. Na Mtanganyika ukitaka kupanda ngazi haraka, jifanye Mzanzibar (Jaji Augustino Ramadhani, Rais Mwinyi!) Hii si haki.
Kumi: Wabara na tamaduni zetu na dini zetu hatutakiwi Zanzibar, Zanzibar wanafukuza Watanganyika, wanachoma makanisa, wanachoma visu wenye ma baa ya pombe, which begs the question why give them liquor license in the first place? Unapopewa leseni ya kuanzisha kanisa au ya biashara ya kuuza pombe na unailipia fees zote na kodi ni lazima upate ulinzi na msaada wa serikali. Lakini hakuna anaechukuliwa hatua kwa mateso ya Watanganyika visiwani. Muungano wa nini hapo?
Kumi na moja: Hakuna kiongozi ama mtu yeyote aliyeko tayari kutuambia faida za Muungano ili tuweze kupima bora ni kipi. Ukiuliza faida za Muungano, unaambiwa sisi na Wanzazibar tuna historia ya udugu. Really? Historia! Sio mustakabali,historia! Wakenya hatuna historia na udugu nao? Angalau Kenya tuna share asili ya "uweusi," Zanzibar wengi asili yao Waarabu! Kama ni udugu tuungane na Kenya basi?! Na kama tuna asili ya udugu na Wazanzibar mbona chokochoko haziishi toka tuungane, kwa nini ni Muungano wa kuvutana? Maana tuna natural connections, udugu, nilitegemea Muungano uwe seamless! Hakuna anaejua faida. Kama huyo hapo juu aliyesema "tutajieni hasara zake na sisi ndio tutataja faida zake..." Kwa nini usitaje faida kwanza kama zipo?
Kumi na mbili: Wazanzibar kwanza ni wanafiki pili hawana shukrani au wanaona hakuna cha kushukuru. Wanafiki kwa sababu hawataki Muungano lakini Tundu Lissu aliposimama bungeni kuu lambast Muungano Wazanzibar wakalia wakamlaani. Ni kama mke ambae hakutaki lakini anaogopa kwenda kuanza maisha mwenyewe! Hawana shukrani kwa sababu Wamejaa Kariakoo, Namanga, Ilala, Buguruni, all over the place wanafanya shughuli zao hakuna anaewaghasi, lakini wao ndio wa kwanza kutu distract na kelele za kutotaka Muungano, sasa kwa nini tuwabebe watu ambao hawaoni wanachohisaniwa? Ni sawa na binadamu na Punda wake. Binadamu anadai shukrani kwa kumtunza Punda, Punda yeye anaona umempandia mgongoni, shukrani ya nini? Anakupiga mateke. Basi haina haja kubebana migongoni wala kupigana mateke, tutengane!
Kumi na tatu: Katika mapendekezo ya marekebisho ya Muungano hakuna structural formulation ambayo ni viable au haipingwi. Serikali moja inapingwa Zanzibar. Hawatakubali yagudu! Serikali tatu sio fiscally feasible, haiwezekani, Tanzania ni nchi ndogo sana kuwa na serikali tatu. Sasa hivi tuna marais na makamu wao watano, na mawaziri wa Bara na Visiwani karibu 80, kwa serikali mbili. Tukiwa na serikali tatu tutakuwa na maraisi kumi na mawaziri mia mbili? Ni mzigo wa gharama. Serikali mbili ndio tutarudi hapa hapa tulipo! Ridiculous.
Kingine katika mapendekezo ya formulation ya Muungano mpya ambacho hakiwezekaniki, ni kwamba Zanzibar wanataka uhuru zaidi. Wanadai, kwa mfano, autonomy kwenye Mambo ya nje. Kama vile, waingine EA Community kivyao, au FIFA, au OIC, kivyao. Wanataka na mfumo wao wa kodi. Na Benki Kuu. Na Bandari. Na elimu ya juu. Na jeshi pia wanahoji, kwa nini dola yao haina jeshi. Sasa swali, ni je, kama kila kitu tunataka kila mtu awe kivyake, Muungano wa nini sasa? Hahahahaa....
Kumi na nne: Zanzibar wana Baraza la Wawakilishi, na wana Wabunge Dodoma. Wale wabunge 75 wa Zanzibar pale Dodoma wana ongeza mzigo kwa nchi! Zanzibar ingetosha kuwa na wabunge watano tu! Unguja na Pemba jumla yake inaingia mara tano ndani ya Masasi na Nachingwea! Ambazo ni wilaya ndogo sana ndani ya Mtwara, mkoa mdogo kupita yote Tanganyika ukiondoa Dar-es-Salaam. Mzigo!
Kumi na tano: Tanzania kuna TRA na Zanzibar kuna ZRB. Mbongo ukifanya biashara Zanzibar unakong'otwa kodi TRA na ZRB. Kwa nini kila mtu asiwe na sarafu yake na mambo yake?
Kumi na sita: Zanzibar wana bendera yao, wana Rais wao, wana timu yao ya mpira, wana bunge lao, wana nembo yao. Muungano gani huo wenzetu wana bendera, Tanganyika kwa nini hatuna bendera, hatuna bunge letu, hatuna Rais wetu?
Kumi na saba: Ukikutana na Mzanzibar nchi za nje yeye anaji identify kama Mzanzibar. Lakini kamwe mimi siji identify kama m-Mtwara au Mmakonde. Mtanzania kwanza, umakonde wangu baadae. Hawa Wazanzibaar hawajisikii kama wenzetu, kwa hiyo hata akiwa anatangaza nchi yetu hatawaambiwa watu "Karibuni Tanzania," atasema "Karibuni Zanzibar." Mimi nikiwa nje ya nchi nataka kuwavutia watu siwaambii karibuni Mtwara! Natangaza Tanzania yetu. Wazanzibar hawafanyi hivyo, si wenzetu!
Kumi na nane: Mzanzibar ana haki ya absentee balot ambayo mimi sina. Kwa nini? Mimi siruhusiwi kupiga kura nikiwa Zanzibar eti nachagua Mbunge wa Bara au Rais, sheria ya Zanzibar hainitambui, sheria ya Zanzibar ime define nani Mzanzibar na nani sio! Lakini Rais Shein alipiga kura yake kugombea Urais wa Zanzibar akiwa Bara, how come? What the ....?! Usawa uko wapi?
Kumi na tisa: Zanzibar hawataki kugawana potential ya chochote walichonacho. Mtafiti mmoja kawaambia kuna mafuta. Dooooo! Balaa! Ikawa "Hatutaki Muungano! Hatutaki Muungano!" kisa? Mafuta! Potential ya mafuta! Basi waachwe waende zao na mafuta yao na ka nchi kao, tutatua mzigo mkubwa mno.
Ishirini: HATI YA MUUNGANO IKO WAPI? Kwa nini Muungano umejaa usiri na ukiuliza unatiwa kizuizini? (Hamad, Jumbe, Doorado n.k.) The only evidence of the union treaty which is being prolmugated ni kiambatanishi kilichowekwa kama adendum kwenye Union Act of 1964, ambacho kilichakachuliwa kabla ya kuchapishwa! The original hati ya Muungano imeteketezwa!
Hati ina umuhimu gani? Well, kwa sababu Muungano hauna solid legal foundation (Hati ya Muungano wala kura ya maoni wala sheria ya Baraza la Wawakilishi ya kuridhia Muungano) chokochoko zitokanazo hazitaisha, zitaendelea kula national attention ya nchi na kutu distract, kututoa kwenye focus ya mambo muhimu, tunabaki tunaongelea Zanzibar, Muungano, Zanzibar, Muungano kila siku wakati ni sehemu ndogo tu ya Tanzania. Wakati hauna faida yeyote, hasara tupu.
Hatutaki Muungano.