Je serikali imeondoa kukopa kwa ESS?

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
650
Reaction score
717
Wadau salam.

Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali.

Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
 
Wadau salam.

Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali.

Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
Nahisi wanafanyia maintenance. Kuwa na Uvumilivu mkuu.
 
Kama serikali imeshindwa kuendesha miradi yake unadhani hii ESS, wataiweza? Ukitaka kujua hakuna uwajibikaji hawajatoa tangazo lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…