Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,703
- 49,706
Huko mitandaoni kuna akina Rais Samia fake zaidi ya 10
Kuna Chief God love zaidi ya mia.
Kuna Tulia Ackson fake zaidi ya 50.
Kuna UNICEF fake zaidi ya mia moja.
Kuna Mo Dewj fake zaidi ya 100
Kuna Nancy Tilisho zaidi ya mia 2.
Kuna akina Nandy na supermarket zao zaidi ya mia.
Kuna maafisa wa PSSSF na NSSSF wengi.
Kuna kila uchafu.
Cha ajabu mpaka wasomi wanatapeliwa kirahisi kabisa.
Juzi Muha jirani yetu kapigwa laki 8 kirahisi kabisa.
Nilimwonea huruma maana hajabahatika kupata elimu kubwa, I hope hata primary hajamaliza.
Serikali hiyo SMS ya SITAPELIKI haitoshi kuzuia utapeli.
Mna zana zote, vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama viko chini yenu, vifaa vya kisasa mlivyowapa polisi kupambana na uhalifu wa kimtamdao wao wamegeuza fursa. Wao ndio hufanyia utapeli.
Wanasambaza simu used na kuzitrack kisha kuwapa watu kesi za wizi, kushambulia au hata mauaji fake ili tu mtuhumiwa na familia yake watoe mamilioni.
Wakitoa pesa kesi huyeyuka juu kwa juu .
Wananchi wanaokwenda police stations kuomba usaidizi wanapopotelewa au kuibiwa vifaa vyao vya kielektroniki hugeuzwa biashara.
Kwa ufupi polisi kunanuka rushwa na dhuluma.