Babu Swahili
Member
- Jan 8, 2009
- 41
- 6
SWALI: Ruge mutahaba ni nani?
RUGE: Nimezaliwa Brooklyn New York Marekani mwaka 1970, Primary School nimesoma Arusha School standard 1 hadi 6, kisha nikahamia Mlimani Primary School maeneo ya Chuo Kikuu Dar es Salaam na ndipo nilipomaliza darasa la saba. Kisha nikasoma Forodhani Secondary School form 1 – 4, baadae Pugu High School 5 na 6. baada ya hapo nikarudi Marekani ambako nikaenda kusoma San Jose University California ambako nikachukua BA in Marketing na pia nikawa nakachukua BA in Finance, kozi zote nilisoma ndani ya miaka 5, kind of 2 courses at the same time. Baada ya hapo nikarudi tena Tanzania.
Sasa shida yako nini??????
Mimi sioni cha kujadili hapa...yeye ni mtanzania,amesoma Tz, anajina la kitanzania na anaishi na kufanya kazi Tanzania. Vinginevyo ni majungu tu!!
Unamaanisha nini Mkuu?hehehehehe
hakuna ambaye hataguswa humu.
heri mimi sijasema
Rege Mutahaba ni mkurugenzi wa Tanzania House of Talents (THT). Hivi karibuni alifanya interview na blog ya Mo.
Nime quote swali na jibu la kwanza kabisa hapo chini. Unaweza kusome interview mzima kupitia: http://www.mohammeddewji.com/blog/2009/12/exclusive-interview-with-ruge-mutahaba.html#comments
Kwa sababu bwana huyu alizaliwa Marekani, swali moja limeibuka ya kuwa kama yeye ni raia wa Tanzania. Je huyu bwana ni Mmarekani au Mtanzania?
Sheria za uraia za Marekani zinaelezea kuwa mtoto yote atakatezaliwa katika ardhi ya Marekani (ukiondoa wale wanaozaliwa na wazazi walioko ubalozini), wanakuwa raia wa Marekani automatically (unless waukane uraia huo wafikapo miaka 18).
2 Possible sitations za uzaliwaji wa Ruge Marekani:
1) Alizaliwa kutoka kwa mzazi ambaye alikuwa afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani au UN? Kama mmoja wa wazazi wake alikuwa afisa wa ubalozi, basi hakupata uraia wa Marekani. Alichokipata ni chagua la kuchukua haki ya kudumu ya kuishi Marekani (Green Card). Well, huko mbele angeweza kuja kuchukua uraia huo baada ya kukaa na hiyo GC kwa angalau miaka 5.
2) Alizaliwa kutoka kwa wazazi ambao walikwenda kubeba box Marekani. Hivyo huyu jamaa alipata ganda la huko moja kwa moja.
Je kati ya hizo situation 2, ipi ni ya kweli ya huyu bwana?
Kama ni ya 1, na kama hakuja kuchuka uraia wa U.S. huko mbeleni, basi it's all good. Ni mwenzetu.
Kama ni ya 2, je alipofikisha miaka 18, alichagua uraia wa TZ? Kama alibakia na wa U.S., je ana kibali cha kuishi na kufanya kazi Bongo?

Kama ni ya 2, je alipofikisha miaka 18, alichagua uraia wa TZ? Kama alibakia na wa U.S., je ana kibali cha kuishi na kufanya kazi Bongo?[/Qaine....
NI MTANZANIA.......KAMA VP JINYONGE MAZEE.
kama alizaliwa USA na kukulia TZ si mtanzania, anapaswa ajiandikishe tena kama raia wa Tanzania. Kwa nijuavyo sheria za uhamiaji anapaswa kuishi Tanzania kwa sasa akitumia passipoti na anatakiwa awe na visa ya kufanyia kazi na kulipa kodi kwa taifa. kama hivi vitu hana basi 'anaishi nchini kinyume cha sheria', ashukuru tu kwani 'sirikali' yetu ndiyo hivyo tena ya 'kidimokrasia'....Ni Mtanzania
Yeah, alishakana uraia wa USA, ni mtanzania na pia ana kitambulisho Cha mpipiga Kura Tanzania!
tupe status yako wewe ni nani kati yao?Siku hizi JF imekuwa kubwa sana kiasi kuwa inabeba mchwa na nguchiro bila mkwaruzo kama alivyo kichuguu.
kama alizaliwa USA na kukulia TZ si mtanzania, anapaswa ajiandikishe tena kama raia wa Tanzania. Kwa nijuavyo sheria za uhamiaji anapaswa kuishi Tanzania kwa sasa akitumia passipoti na anatakiwa awe na visa ya kufanyia kazi na kulipa kodi kwa taifa. kama hivi vitu hana basi 'anaishi nchini kinyume cha sheria', ashukuru tu kwani 'sirikali' yetu ndiyo hivyo tena ya 'kidimokrasia'....