Je Robert Kisena nani kamuuzia UDA?

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,187
Robert Kisena ni nani na ameimilikije UDA...?
alikua ni mtumishi wa serikali au mfanyabiashara kabla ya kumiliki UDA?

bado sijapa jibu ambalo lina ukweli zaidi..
Alipata wapi pesa kiasi cha kumiliki UDA kirahisi?
Hapa kuna walakini wa yeye kusimama kama kivuli huku wenye mioyo ya UDA wakiangalia taarifa za habari jinsi Magufuli anavyotumbua majibu...
Tunajua UDA sasa hv siyo mali ya serikali,, ni ya mtu binafsi bwana R. Kisena...

Kwanini Robert Kisena anakua na nguvu ya kujipangia nauli ya mabus anayomiliki ya UDA aka mwendo kasi?????
Hii nguvu anaitoa wapi kuishinda SUMATRA..??
Kuna kivuli kinachotembea kikubwa nyuma ya R. Kisena kutoka serikali ya mzee wa msoga..... Na hicho ndo moyo wa UDA aka DART..

Je JPM analijua hili au anatumbua kipele huku akiacha Moyo wa UDA ukiangalia taarifa ya habari kwa vicheko??
Kisena anadaiwa na serikali kwa kuingiza magari ya kasi bila kulipa kodi na ndo maana ya yamepakiwa yote kwenye stand mpya ya Jangwani mpaka alipe kodi ya gari zaidi ya 500......
Je hivi ni rahisi magari 500 kupita bandarini bila kulipiwa kodi maana haya siyo ya serikali tena??
Hapa kuna mioyo ya UDA inaangalia taarifa ya habari.....

JPM anatakiwa aishike Hii mioyo ya UDA Je anafanya hivyo au ndo ile kauli yake aliyosema "nilioanza nao kampeni ndo ntamaliza nao"
Kama ndo anamaanisha basi jua hakuna moyo wowote wa UDA utakaoguswa zaidi ya kivuli cha Kisena.....
kisena kakili kushindwa kulipa hiyo kodi maana ni kubwa ili hali muda unasonga na magari hayafanyi kasi huku akidaiwa alipe mkopo aliokopa bank kununulia magari maana muda unasonga marejesho hayaendi bank huku magari yameshikiliwa na serikali hadi mabilioni ya pesa aliyokwepa kodi alipe.

Je Kisena atalipa pesa alizokwepa kodi alipoleta hayo magari ya DART.....

Je JPM anajua mioyo ya DART ambalo Watz Wantage waishughulikie au ndo alioanza nao kampeni ndo atamaliza nao???
 
Yale magari yaliyong'anga'aniwa na TRA na ambayo yanatarajiwa kupigwa mnada hivi karibuni, kwa atakaye yanunua atafanyia biashara gani? Ya mwendo kasi hiyo hiyo, au?
 
Back
Top Bottom