Je, rais mstaafu Kikwete aombe radhi kwa kumbeba kwa mbelelo Rais Samia ambae WanaCCM 80% hawamkubali kama chaguo lao?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Unaweza ukadhania ni utani au mdhaha. Lakini ukweli ni kwamba wanaCCM wengi hawamkubali Rais Samia kama kiongozi anayefaa kuwa rais wa taifa hili.

Huu ukweli kutowekwa wazi ndio tatizo kwenye taifa hili. Na ni Matatizo ambayo yanaligharimu taifa letu. Sababu wanaCCM wanatamka hadharani Kikwete amemuweka Samia kuwa rais kwa manufaa yake.

Manufaaa gani?

Kwa nini vurugu za Oktoba 29 mwaka 2025 zihusishe kifo cha hayati Magufuli na ufisadi wa Kikwete na familia yake?

Kwa nini mstaafu Kikwete alipendekeza rais Samia awe Mgombea bila kufuata utaratibu wa chama?

Najua kuna mtikisiko mkubwa sana ndani ya CCM.
 
Huyu anatakiwa kuomba msamaha analinda interest zake
 
ahiyo sensa uliifanya lini?
 
kwenye kuteua mgombea wao wa 2025 hapo ccm kundi lenye nguvu ndo lilishinda kwa kuweka mgombea, suala la mbinu zilizotumika tuwaachie "wenye chama" na sio wanachama
 
Unaweza ukadhania ni utani au mdhaha. Lakini ukweli ni kwamba wanaCCM wengi hawamkubali Rais Samia kama kiongozi anayefaa kuwa rais wa taifa hili.

Huu ukweli kutowekwa wazi ndio tatizo kwenye taifa hili. Na ni Matatizo ambayo yanaligharimu taifa letu. Sababu wanaCCM wanatamka hadharani Kikwete amemuweka Samia kuwa rais kwa manufaa yake.

Manufaaa gani?

Kwa nini vurugu za Oktoba 29 mwaka 2025 zihusishe kifo cha hayati Magufuli na ufisadi wa Kikwete na familia yake?

Kwa nini mstaafu Kikwete alipendekeza rais Samia awe Mgombea bila kufuata utaratibu wa chama?

Najua kuna mtikisiko mkubwa sana ndani ya CCM.
Wewe na wakristo wachache ndio hamumkubari.
 
Ninachoamini, JK anamuandaa Kijana wake Ridhiwan kuwa Rais 2030.
Anataka afanye kama Karume na Mwinyi
 
Back
Top Bottom