kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,487
- 5,111
Katiba ya Taifa ndiyo mama wa kila kitu au niseme ni kitabu cha makubaliano kati ya wananchi na viongoz wao walio wachagua kuwaongoza na mkuu wetu alikula kiapo cha kulinda na kutetea katiba maana ndiyo mkataba wake wa uongoz na waliomchagua . lakin kwa kipind hiki tumeshuhudia katiba yetu inapuuzwa sana na mkulu na haoneshi sana kuheshimu Hiyo katiba (rejea kauli zake na hata baadhi ya matendo yake tokea amekuwa mkulu) .
Naomba kuuliza swal kwa hali hii inavyokwenda hasa katiba yetu kupuuzwa je ni chombo kipi kina mamlaka ya kutengua nafas yake ya uraisi kwa kushindwa kuheshimu Yale ambayo ameapa kulinda na kutetea katiba yetu.