Je Putin ananza kujitanua?

Urusi ni Putin na Putin ni Urusi.Siku Putin akifariki au kuzeeka Urusi kwisha habari yake.One man Show!
 
Kuna Putin's kama 50 hivi wako wanaivishwa jikoni kusubiri muda wao ufike waendeleze mema ya Putin the Great.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji2532][emoji120]
 
safi sana putin. Wataiti hivyo hivyo. Tumewachoka. wamemuua sadam bila hatia, wamemuua ghadafi, syria huko wamevuruga, Bongo hapa wanataka kuleta habari zao za kizushi eti haki za binadam
 
Taifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa Putin
nafikiri Russia tuna urafiki nao tangu enzi za zamani. Na kwa Jembe Magufuri najua atabase sana kwa russia kuliko USA. Urafiki wa kimarekani ni wa kinafiki sana
 
Venezuela wanahitaji namna ya kujikwamua kutoka kwenye Hyperinflation inayowakabili. Hiyo midege haitawasaidia kukidhi lengo hilo.

Russia ni ile ile sawa na zile zama za USSR ya akina Nikita Khrushchev na Leonid Brezhnev ya "Gunboat Diplomacy". Hawanaga msaada wowote wa maana wa kuweza kumsaidianao mtu. Warussia ni bure kabisa.

Zama hizo walipigika kiasi kwamba chakula kilikuwa shida na nguo vile vile, walikuwa wakisafiri kwenda Ulaya Magharibi kununua Jeans na hata Toilet Paper ilikuwa ni shughuli kupatikana.
 
Ninaamini sana kwamba, Baada ya President Trump kumaliza Trade deals na Japani, EU, na wachina atakuwa pia amekamilisha hidden agenda yake ya kuwakwaza wachina kufikia ambitions zao za kuwa Military Super Power ataishangaza Dunia kwa atakachomfanya Putin.
 
trump kwa putin ni mtoto mdogo sana,wao ndio wamemweka madarakani,na wana uwezo wa kumuua wakitaka,,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…