Je, Prof. Mark Mwandosya atakwenda kwenye ziara ya Mh Rais?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mkoani Kagera Mzee Kagasheki alikataa kata kata kuwa miongoni mwa wazee watakaompokea Rais alivyokuja kwenye ziara ya kutoa pole mkoani Kagera baadae baada ya ziara ile kuna vijineno alianza kuwa anaviandika kupitia twitter.

Sasa je najiuliza Prof. Mark Mwandosya atavunja ukimnya na kwenda kumlaki Rais?

Karibuni watabiri.
 
Mpaka sasa anaviandika ,ila tofauti na mwanzo,itakua kabonyezwa akae chonjo,lazima atakua aliharibu kwenye utumishi wake,maiti yaweza fukuliwa,akaambulia pressure na kisukali
 
Mzee Mwandosya aende asiende kwisha habari yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…