Je, Prof. Kabudi anaweza kuwa Rais wa awamu ya sita wa JMT? haya ndio matazamio yangu

6 years ahead kuna so much changes hapa kati.

Ukiachilia kwamba kuna mahali watazinguana na Magu, ila jamaa hana mizizi CCM.
 
Declaration of interest: sijatumwa wala kutumiwa na Prof. Kabudi kuleta mada hii lakini kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea hasa yale yanayomuhusu yeye, ndio maana nimekuja na mtazamo huu juu ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ta sita wa JMT.

Prof.Kabudi kama ajulikanavyo, ni mwalimu na mwanataaluma nguli wa sheria na mmoja wa watu anayeheshimiwa sana Tanzania katika tasnia hiyo na kufikia hatua ya kuaminiwa na rais wetu katika masuala ya kisheria hasa marekebisho ya mikataba ya kinyonyaji dhidi ya nchi. Nampa kongole kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka sasa kwa kushirikiana na rais wetu.

Mimi ninamtazamo tofauti lakini sikatai mtazamo wa wengine juu ya nguli huyu wa sheria katika kufanya ubashiri through trend reading ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ya sita wa JMT. Wengi wametoa maoni yao ya kuona kuwa atakuwa rais baada ya kuteuliwa kwake kuwa waziri wa mambo ya nje kwa kuwa rais wa awamu ya tatu na nne waliwahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na baadaye kuwa marais.

Mtazamo wangu juu ya uwezekano wa nguli huyu kuwa Rais wa JMT
  • Sote tunafahamu umuhimu wa Prof. Kabudi katika Nyanja ya sheria katika nchi yetu na hata kupelekea kupewa uwaziri wa sheria. Bila kutarajia akabadilishwa wizara ya mambo ya nje na katika hili nakubaliana na wenzangu wenye mtazamo kuwa kapelekwa wizara ya mambo ya nje kupata uzoefu wa kimataifa katika masuala mbalimbali ili kujianda kushika uongozi wa ofisi hiyo kubwa nchini. Huu ni mtazamo wa wengi hauna budi kuheshimiwa.

  • Hoja yangu nyingine ni kuhusu sakata hili la CAG vs Bunge. Je, rais aliona kwamba sakata hili linaweza kumchafua na kumuweka mahali pabaya kisiasa nguli huyo wa sheria kwa kuwa naye ni waziri wa sheria kwa kushindwa kulimudu hivyo akaamua kumuamisha. Huu ni mtazamo tu.

  • Suala la Tundu Lissu. tundu lissu anaamini katika uwezo wa prof. kabudi katika mambo ya kisheria. Je, hakuna uwezekano wa Prof. Kabudi kuwa nominated kugombea urais ili kuweza kushughulika na Tundu katika masuala ya Kisheria katika ibu kugombea kampeni kama ikitokea Tundu Lissu akapewa nafasi na Chama chake kugombea urais?

  • Utendaji uliotukuka. Prof. Kabudi ni moja ya watendaji waaminifu na wazalendo katika awamu hii ya tano. Ni moja ya watendaji wanaoweza kufanikisha mambo kwa asilimia kubwa bila kujali athari ila matokeo makubwa. Je, hii haiwezi kuwa sababu ya Prof. kabudi kuwa rais wa JMT?

  • Ujengaji mzuri wa hoja. Nimepata kumfahamu Prof. Kabudi katika bunge la katika na sasa ambapo ni waziri. Hakika ni mwalimu, si tu mwalimu wa UDSM bali ni mwalimu wa jamii nzima. Licha ya kuwa ni prof ila Kabudi anapoongea na kujenga hoja si tu wasomi wanamuelewa ila hata wale ambao hawakubahatika kwenda shule wanamuelewa vizuri tu.
Unamuongelea yule propesa bingwa wa kukodoa macho?Yule aliyekua anaamini kwenye serikali tatu kabla hajapewa uwaziri na baada ya kupata uwaziri anawaambia watu wanyamaze kimya??? Kama ni huyo akatafute Jamhuri ya wakodoaji wa macho ndio akajaribu kugombea uraisi, afadhali Pierre Liquid awe raisi kuliko profesa mufilisi kama huyo.
 
Na hajakuelewa zaidi Mkuu mwambie kuwa Tundu Lissu ni Lionel Messi wa Sheria wakati Palamagamba Kabudi ni Christiano Ronaldo wa Sheria. Hapa namaanisha kwamba Messi ( Tundu Lissu ) amezaliwa na Kipaji chake cha Masuala ya Mpira ( Sheria ) huku Ronaldo ( Palamagamba Kabudi ) bila mazoezi ( practice ) hawezi kuwa Mchezaji ( Mwanasheria ) mzuri.
Mkuu, LIKE yangu umeiona?
 
Declaration of interest: sijatumwa wala kutumiwa na Prof. Kabudi kuleta mada hii lakini kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea hasa yale yanayomuhusu yeye, ndio maana nimekuja na mtazamo huu juu ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ta sita wa JMT.

Prof.Kabudi kama ajulikanavyo, ni mwalimu na mwanataaluma nguli wa sheria na mmoja wa watu anayeheshimiwa sana Tanzania katika tasnia hiyo na kufikia hatua ya kuaminiwa na rais wetu katika masuala ya kisheria hasa marekebisho ya mikataba ya kinyonyaji dhidi ya nchi. Nampa kongole kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka sasa kwa kushirikiana na rais wetu.

Mimi ninamtazamo tofauti lakini sikatai mtazamo wa wengine juu ya nguli huyu wa sheria katika kufanya ubashiri through trend reading ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ya sita wa JMT. Wengi wametoa maoni yao ya kuona kuwa atakuwa rais baada ya kuteuliwa kwake kuwa waziri wa mambo ya nje kwa kuwa rais wa awamu ya tatu na nne waliwahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na baadaye kuwa marais.

Mtazamo wangu juu ya uwezekano wa nguli huyu kuwa Rais wa JMT
  • Sote tunafahamu umuhimu wa Prof. Kabudi katika Nyanja ya sheria katika nchi yetu na hata kupelekea kupewa uwaziri wa sheria. Bila kutarajia akabadilishwa wizara ya mambo ya nje na katika hili nakubaliana na wenzangu wenye mtazamo kuwa kapelekwa wizara ya mambo ya nje kupata uzoefu wa kimataifa katika masuala mbalimbali ili kujianda kushika uongozi wa ofisi hiyo kubwa nchini. Huu ni mtazamo wa wengi hauna budi kuheshimiwa.

  • Hoja yangu nyingine ni kuhusu sakata hili la CAG vs Bunge. Je, rais aliona kwamba sakata hili linaweza kumchafua na kumuweka mahali pabaya kisiasa nguli huyo wa sheria kwa kuwa naye ni waziri wa sheria kwa kushindwa kulimudu hivyo akaamua kumuamisha. Huu ni mtazamo tu.

  • Suala la Tundu Lissu. tundu lissu anaamini katika uwezo wa prof. kabudi katika mambo ya kisheria. Je, hakuna uwezekano wa Prof. Kabudi kuwa nominated kugombea urais ili kuweza kushughulika na Tundu katika masuala ya Kisheria katika kampeni kama ikitokea Tundu Lissu akapewa nafasi na Chama chake kugombea urais?

  • Utendaji uliotukuka. Prof. Kabudi ni moja ya watendaji waaminifu na wazalendo katika awamu hii ya tano. Ni moja ya watendaji wanaoweza kufanikisha mambo kwa asilimia kubwa bila kujali athari ila matokeo makubwa. Je, hii haiwezi kuwa sababu ya Prof. kabudi kuwa rais wa JMT?

  • Ujengaji mzuri wa hoja. Nimepata kumfahamu Prof. Kabudi katika bunge la katika na sasa ambapo ni waziri. Hakika ni mwalimu, si tu mwalimu wa UDSM bali ni mwalimu wa jamii nzima. Licha ya kuwa ni prof ila Kabudi anapoongea na kujenga hoja si tu wasomi wanamuelewa ila hata wale ambao hawakubahatika kwenda shule wanamuelewa vizuri tu.
Sijui nani ameturoga!. Uchaguzi mwaka kesho halafu tunajadili raisi wa miaka sita ijayo!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom