Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Chunguza maisha ya polisi wote Tanzania hakuna hata jambo moja atafanikiwa ,akanunua gari itaanguka kila siku,akijenga nyumba kila siku bundi,fisi,yaani hawana baraka hata moja,atakaye jaribu kumfunga kumnyanyasa huyu mfia DINI,a.k.a Musa Assad maisha yake yatakuwa kama ya mbwa aliyezaa.
Elli fanya kautafiti kadogo tu watu ambao hawana makwazo na watu namna maisha yao yanavyobarikiwa!!linganisha na hawa niliowataja hapo juu ni balaa ,ngoja nikuambie kitu askari wote waliouawa pale KIBITI wengi wao walikuwa wananyanyasa raia ,kuanzia mgambo mpaka polisi hawa nina ushahidi nao Mungu anaona kila jema na baya
Chunguza maisha ya polisi wote Tanzania hakuna hata jambo moja atafanikiwa ,akanunua gari itaanguka kila siku,akijenga nyumba kila siku bundi,fisi,yaani hawana baraka hata moja,atakaye jaribu kumfunga kumnyanyasa huyu mfia DINI,a.k.a Musa Assad maisha yake yatakuwa kama ya mbwa aliyezaa.
The Hero?? View attachment 1255004
Ila kama kuna kosa tumekukosea Ee Mungu tunaomba utusamehe!...yaani km nchi tunapita kwenye waya wa moto sana!
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu huyu Prof Assad!
Bdw!hivi kwann watu wasio wema huwa wanadumu???
Kama nanihii? Wa nanihii??
umeongea Kweli, kuna wale polis waliokamatwa na takukuru mwezi uliopita,,mmoja anaitwa Ulimwengu, baba alikuwa mla rushwa na mnyanyasaji aswaaElli fanya kautafiti kadogo tu watu ambao hawana makwazo na watu namna maisha yao yanavyobarikiwa!!linganisha na hawa niliowataja hapo juu ni balaa ,ngoja nikuambie kitu askari wote waliouawa pale KIBITI wengi wao walikuwa wananyanyasa raia ,kuanzia mgambo mpaka polisi hawa nina ushahidi nao Mungu anaona kila jema na baya
Prof. Assad angekuwa na mabaya wangemtoa mapema sana.... lakini watakuwa wamempekua wamekosa.
Kaondolewa Assad ndio tutazidi kubinywa asaaa, watajipigia hela ndefu sana ya wananchi coz Assad alikua kikwazo kwao, ila Mungu atasaidia