Je, Posho ya 40,000 ni Ushindi wa kishindo?

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Kushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja

Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na

kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??

Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !

Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????

Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?

Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
 
Mbona usomeki, kichwa habari na habari yenyewe, mbona haina uwiano.
 
Kushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja

Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na

kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??

Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !

Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????

Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?

Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
ccm ni janga na zigo la umasikini kwa watanzania.
 
Ukijua kilichomponza Lukuvi kuukosa uPM utajua kuwa urais Wa jamaa umepatikana kwa nguvu ya Rupia.
 
Mamvi yeye alijua pesa ni kila kitu ndio maana ameinvest vya kutosha ili apate uraisi ,kwa kuchangiwa na MABEPARI ili waje kusamehewa kodi ndio hivyo tena kapotea
 
Kushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja

Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na

kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??

Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !

Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????

Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?

Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
Tutayajuwa mengi yaliyo chini ya uvungu maana walio polwa ushindi ni nguvu ya mungu
 
Mamvi yeye alijua pesa ni kila kitu ndio maana ameinvest vya kutosha ili apate uraisi ,kwa kuchangiwa na MABEPARI ili waje kusamehewa kodi ndio hivyo tena kapotea
Nyie watu wabaya sana mmewapoteza mzee sitta,na wasira kwa kuwatowa kafara ya uchaguzi
 
Mamvi yeye alijua pesa ni kila kitu ndio maana ameinvest vya kutosha ili apate uraisi ,kwa kuchangiwa na MABEPARI ili waje kusamehewa kodi ndio hivyo tena kapotea
Msisahau kumpatia uenyekiti wa pac wakala wenu
 
Kushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja

Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na

kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??

Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !

Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????

Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?

Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
Jipange upya uilete hii habari vizuri.
Unaweza kuwa na hoja ya msingi ila umeiandika kwa ushabiki na hamasa za mtu anayetekenywa.
 
Back
Top Bottom