Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

anatenbea na lundo la walinzi,wanakula bata haoooooo tena ana motorcade kuuubwa kuliko waziri mkuu,ukifika mwanza Igoma anamjengea baba yake hekalu,juzi tu kanunua udongo wenye rutuba wa kumwaga kwenye garden kwa million 6...milango madirisha ,taa na zagazaga nyinginezo kwa milion 54...na baba yake ana roho mbaya kuliko huyo dogo akikuta hata fundi anakunywa maji ya bomba la nje ni timbwili...dogo ana enjoy maisha aisee,pia anamiliki ghorofa tano mtaa wa rwagasore katikati ya jiji la mwanza
Yeye ni whistle blower...
Zake ni chache!
 
The innocent civilians?
The politicians?
The military officers?
Who is safe here?
If Aquiline,the innocent civilian got shot dead,then who is safe?
If Tundu lissu,the chief whip,was gunned by multiple bullets in a very and serious protected area,then who is safe...?
If the police officers got killed at kibiti then who is safe?
If Ben saa nane got abducted two years now and no body knows his whereabouts.. then who is safe?
Who is safe if Nape,the former minister
Was threatened a gun publicly and no body got arrested of....
Personally, am not safe....how about you?
We are Not Safe, Things are Going out of Hands . Though I hate Mob Actions
 
Kuna wakati unabaki mdomo wazi ukijiuliza, tatizo liko wapi. Je, tunaajili wa-TZ wenzetu kuingia majeshini baada ya kuwaona ni watu wenye uwezo mdogo wa kufanyakazi zenye kuhitaji umakini? Ilitokea hivyo ktk sekta ya ualimu na leo hii tunajuta. Najitafakari binafsi kwa kazi yangu ndogo niliyonayo na kujiuliza kama nikiwa mzembe kiasi hiki, je, kweli nitatoa majibu ya kijinga kama hayo kwamba ni bahati mbaya?

Hakika ukiwa askari nadhani kuna kiburi kinajijenga, lakini ni kujishau kwamba hata wao wanahitajika kwenda hospitali, wanahitajika kusomesha watoto, wanahitajika kwenda sokoni, nk. Kushika silaha haistahili iwe ni kinga na kutafuta heshima za mauaji kiasi hiki.
 
Who is safe here?
Personally, am not safe....how about you?
For lack of foresight there are two people who stupidly believe they are safe. They think they are above the law completely oblivious to the fact that the day of reckoning is fast approaching. Sizonje and his protégé Bashite, you might have an upper hand now but so did Adolf Hitler and his henchmen...it is just a matter of time.
 
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
454a637916def479540d0fc946e0cc85.jpg


Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.

Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.

Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.

Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.

Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.

Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa kozi ya Procurement $ Logistics Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Aqulina Akwilini Baftaha, baada ya kufariki kwa dunia kwa kupigwa risasi iliyompata akiwa ndani ya basi la dala dala lililopita eneo la tukio.

Paskali
Kuna baadhi ya watu katika Nchi hii kila kitu wanataka kukigeuza ni siasa.

Hivi huwezi kufanya kazi na kupata income yako pasipo majungu?

Embu tufanye kazi tuishi na familia zetu vizuri, tuache kulalamika hovyo kwa mambo ambayo hatuyajui bali tunahisi tu.
 
Damu ya Aquilina iko juu ya Murilo na Mambosasa, kwa kuwa wamepewa bunduki na mabomu basi wanatamani tu kufyatua-fyatua kwenye makundi ya raia, hawajiulizi what if, hawatumii busara, kwa kuwa wana bunduki na virungu basi wanatamani tu kuvitumia hata pasipo na ulazima.

Vv
 
Back
Top Bottom