Polisi wakiuwa sawa,wanapowauwa hao wanaohatarisha usalama wao na wetu inakuwa tatizo,hii nchi ina watu wa aina gani?
Kuwa objective! hata kama ni gaidi wa kutupwa, as long as amesurrender, huna ruhusu ya kumuua. Sawa walivamia kituo na kuua, lakini walipokwenda kuwakamata wakanyanyua mikono juu! Why kill them? Polisi imekuwa mahakama kutoa hukumu?Inaonekana unaamini kuwa hao jamaa ni majambazi. Sasa kama unaamini kuwa jambazi anayeweza kuvamia kituo cha polisi na kuua kila aliyemkuta anaweza kukamatwa kama kuku wa broiler bandani ni kuwa a bit naive.
Kuwa objective! hata kama ni gaidi wa kutupwa, as long as amesurrender, huna ruhusu ya kumuua. Sawa walivamia kituo na kuua, lakini walipokwenda kuwakamata wakanyanyua mikono juu! Why kill them? Polisi imekuwa mahakama kutoa hukumu?
Nakubaliana na wewe na ndio maana huwezi kusikiliza kesi inayokuhusu. Hutakuwa neutral. Ndio maana kesi hiyo anapewa mtu mwingine! Hivyo hivyo, polisi wasifanye hivyo, hawajafundishwa hivyo. Tukiruhusu hivyo, watatuua wengi kwa dhana tu!Chukulia aliyeuawa pale stakishari angekuwa ndugu yako jee ungekuwa na huruma na mtu aliyeua nduguyooo?? twende mbele na kurudi nyuma je hizo silaha walizokwenda kupora kituoni ni za kufanyia nini kama sio kuua raia wasiokuwa na hatia
Inaonekana unaamini kuwa hao jamaa ni majambazi. Sasa kama unaamini kuwa jambazi anayeweza kuvamia kituo cha polisi na kuua kila aliyemkuta anaweza kukamatwa kama kuku wa broiler bandani ni kuwa a bit naive.
polisi hana mamlaka hiyo mkuu hii ni ichi yenye kutii sheria na taratibu sasa kama tutauana kiivo sijui
Wewe uliyezusha huu mjadala nawewe unapaswa upigwe risasi ufie mbele ya safari ,,,,,hauna uzalendo na nchi yako kabisa,,,hawa watu wakipelekwa mahakamani pengine wanaweza kutoka then wewe unategemea nini.usizungumze kabisa kama huelewi
mtoa post uwezo wako kifikra ni mdogo sana nakufananisha na mtoto mdogo hivyo waache watu wakubwa wanaojielewa.
soma sheria mbalimbali ukatafute ushauri wa kisheria utaelimishwa.
ukumbuke kuwa ni katika kurushiana risasi, mara zote askari kwenye op.wamejihami wakiwa na mavazi maalum hivyo si rahisi wao kujeruhiwa.
Ulikuepo eneo la tukio wakati wananyoosha mikono? ficha upumbavu wako, matumizi ya silaha unayajua? ni muda gani Police anatakiwa kutumia nguvu ya ziada na kawaida, ukijibu hili ntajua akili zako Zipo sawa.
sasa mm na ww nani haelewi ww huiamini mahakama ila unaiamini polisi
Mahakamani kuna armoury??!!! Kuna mtu anajifunza target kule??!! Kuna mtu wa muzzle velocity??!!
Unajua bullet proof vest ina uzito na joto kiasi gani??!!! Wanaume wanashinda nazo hizo miilini nyie mmevaa body tights mnaenjoy tu. . . . .
Jambazi wa silaha yake chuma tu. . . . Haina mjadala
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.
Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.
Pia tuseme tu kuwa inaonekana walifanya makusudi kulipiza kisasi na visasi haviishi.