Je, Polisi mkoani Mara, wanamuonea Kijana huyu?

Je, Polisi mkoani Mara, wanamuonea Kijana huyu?

Nawajua watu wa Mara, hii ngoma msiichukulie simple,
Wanaamini kuwa kumzika marehemu aliyeolewa kwenye makaburi yao ni machukizo kwa mizimu ya mababu, hivyo kukubali kitendo hicho kufanyika kunaweza kusababisha ukoo kuandamwa na mabalaa,,

Pia kwa upande wa aliyekuwa mume wake nako pia ni tatizo zaidi kwani tayari hakuwa mke wao na ndoa ilivunjika automatically baada ya kiongozi wa selikari ya kijiji kushindwa kuisaidia, hivyo kumzika marehemu ambaye amefia kwenye ugoni ni mkosi na mizimu haitakaa iwaache salama,,

Tabu iko,, wanawake wa kileo acheni viburi na ujuaji ulipitiliza..
Na ndivyo ilivyo,hii ngoma hata hatuelewi itaishaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akazikwe kwenye makaburi yaliyotengwa na halmashauri au Kijiji!
 
Umalaya mbaya sana. Anadharirika hadi baada ya kifo chake.
Hata mimi ningekua ndo huyo jamaa nisingekubali kumzika. Ndugu zake wasiikane damu yao wamzike tu ndgu yao hamna namna.

Cosovo tupe updates nini kimejiri huko, kama hawamtaki wapewe hospital wanafunzi wamfanyie mazoezi.
 
Back
Top Bottom