Je, Polepole ni tapeli ?

Je, Polepole ni tapeli ?

Kusema kweli ni Tapeli tu yule bwana

Laiti watanzania tungekuwa makini wale waandishi wanaomuhoji wangeanza kumuuliza maswali magumu kuhusu uhusiano wake na mabaya ya awamu ya 5 kwanza kabla hawajampa platform. Hizi jamaa zimefanya mabaya sana mara kumi ya mabaya anayofanya SSH, ila sababu ya ujinga wa watanzania anataka tumuonee sympathy sasa hivi sababu hayumo kwenye kula keki ya Taifa atakavyo yeye japo kapewa tuvipande pande twa pembeni

Anyways Pole Pole msanii tu hamna kitu mle. Ni eidha yale yale ya kina Lipumba au kachanganyikiwa
Currently he is disturbing the system and to many that's what matters, as the old saying goes 'the enemy of your enemy is your friend'.
Temporarily he is serving the purpose, bringing the positive energy so to say regardless of his true motives.
 
Hazungumzii kabisa reform

Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu

Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .?

Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta ndani ya CCM Kama atafanya reform kabla ya uchaguzi.

Nikikumbuka Kikwete ndeye alimuibua huyu tapeli kumleta kwenye bunge la katiba Kama ilivyo kwa makonda alivyomubua na akamtumia kuadaa umma kwenye utawala wa Magufuli. inawezekana kabisa Watanzania wanachezeshwa ngoma wasiojuwa.

Nawaambia Polepole ni tapeli kuliko kawaida anataka kufanya yale ya Dr Slaa, Mbowe, Lowassa,Shibuda,Membe,Sumaye&.com.

Na Watanzania mlivyo mazombie wengi mnachezeshwa ngoma msio ijua.

Nawaambia Huyu ni timu ileile wanatufanyia maigizo tu muda uende tukose reform endeleeni kuwepo mtaona kila rangi ambayo amjawai kuona.

No reform no Election!!
tena tapeli wa hali ya juu
 
Sasa kwani uliwekeana naye makubaliano kwamba azungumzie hayo mambo,si uzungumzie wewe
 
Mkuu kwenye huo uovu ni kipi kiovyo ambacho Jiwe hakufanya? Jiwe ndiye muhasisi ya haya yote unayoyaona leo. Hata mambo ya wizi wa kura kipindi chake nadhani unakumbuka.
Upumbavu ni kumlaumu mtu ambaye hayupo kwa mambo yanayofanywa na watawala wa sasa hivi tena kwa utashi wao wenyewe.

Hii awamu yenu ya sita wakati imekabidhiwa madaraka ilijinasibu kuwa itafuta mabaya yote ya awamu ya tano na itaendeleza yale mazuri pekee tu, na of course yapo mengi sana iliyoaacha na nyie wailers mkaisifu.

Sasa nashangaa nyie nyie ambao mlikuwa mnaisifu hii awamu ya kutoendeleza mambo baadhi ya Magufuli, ndio nyie nyie ambao mnailaumu awamu ya magufuli kwa mabaya yanayofanywa na awamu hii ya samia.

Yaani kwa lugha rahisi awamu hii ya samia imechagua mabaya ya kuyaacha na mabaya ya kuendelea nayo ambayo ina manufaa nayo....

...halafu sasa kinachofanyika yale mazuri yanayoendelezwa na awamu hii ya samia sifa zinaenda kwa Samia, ila yale mabaya yanayoendelezwa na Samia, lawama zinaenda kwa Magufuli..!!? Na ndio maana mimi nasema wengi wenu nyie haters wa JPM ni wapumbavv sana.

Halafu sijui nani alikwambia mauaji ya kisiasa yalianzia kwenye awamu ya tano, inaonekana mbali tu na kuwa huna akili bali haujui historia ya siasa za nchi hii.
 
Jiulize hivi kuna mnyonge mwenye akili? Sasa kama Jiwe alikuwa anawaita nyie ni wanyonge jaribu kujiuliza kama uko sawa upstairs. Wanyonge hamkubaliki sehemu yoyote asikudanganye mtu. Katafute pesa na achana na habari za kumlilia marehemu. Wenzako alipiga pesa na kusepa wewe ukabaki na jina tu
 
Ona ulivyokuwa mpumbavu nani aliyekwambia mimi sina hela na ni mnyonge??

Yaan mtu yeyote anaye mkubali JPM unamuita mnyonge na hana pesa na anachukia wenye pesa, ila wewe ukiambiwa ni muhanga wa vyeti feki una ng'aka?

Yaan assumption zako kuhusu sisi unalazamisha ziwe sahihii, ila assumption zetu kuhusu wewe unasema hazina tija?

Aisee wewe jamaa ni kumer sana, sijawahi kuona hater wa Magufuli mpumbav kama wewe, na kama kuna mtu ambaye bado haja move on na kifo cha magufuli basi ni wewe mbwa..

Kwanza maisha yangu sasa hivi ndio yanaenda vizuri kabisa kuliko hata enzi za JPM lakin hainizuii mimi kukemea huu utawala dhaifu unaofuga mafisadi.
 
So huwezi kujenga hoja bila kuweka matusi? Nyie ndiyo mlikuwa mtaji wa Jiwe. Jiwe hayupo tena kama ulizoea kulelewa naye kubali tu kuwa Mungu amesha muua na kuikomboa Tanzania.
 
Azungumze mambo ya Lissu ya Kazi Gani? Polepole yeye ameshajinasibu kuwa yeye Bado ni Mwananchama mtiifu wa CCM kuanza kuongelea mambo ya Upinzani sio wakati wake huu
Kwenye barua yake ya kujiuzulu alijinasibu kuwa anafanya hivyo pia kwa sababu serikali inakiuka haki za watu, he hao watu wapinzani hawahusiki?
 
Tapeli ataongea Tena leo na matapeli wenzie Gwajima na Mpina?
 
Wahuni ndo huwajua wahuni wenzao.... Huwezi kupata mtu safi kupitia Box la Kura... Watu safi wanapatikana kupitia nguvu ya wananchi au Mapinduzi..
 
Hazungumzii kabisa reform

Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu

Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .?

Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta ndani ya CCM Kama atafanya reform kabla ya uchaguzi.

Nikikumbuka Kikwete ndeye alimuibua huyu tapeli kumleta kwenye bunge la katiba Kama ilivyo kwa makonda alivyomubua na akamtumia kuadaa umma kwenye utawala wa Magufuli. inawezekana kabisa Watanzania wanachezeshwa ngoma wasiojuwa.

Nawaambia Polepole ni tapeli kuliko kawaida anataka kufanya yale ya Dr Slaa, Mbowe, Lowassa,Shibuda,Membe,Sumaye&.com.

Na Watanzania mlivyo mazombie wengi mnachezeshwa ngoma msio ijua.

Nawaambia Huyu ni timu ileile wanatufanyia maigizo tu muda uende tukose reform endeleeni kuwepo mtaona kila rangi ambayo amjawai kuona.

No reform no Election!!
Mtajuana nae nyie mnaomsikiliza.
 
Back
Top Bottom