Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 337
- 1,945
Hazungumzii kabisa reforms
Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu
Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .?
Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta ndani ya CCM Kama atafanya reform kabla ya uchaguzi.
Nikikumbuka Kikwete ndeye alimuibua huyu tapeli kumleta kwenye bunge la katiba Kama ilivyo kwa makonda alivyomubua na akamtumia kuadaa umma kwenye utawala wa Magufuli. inawezekana kabisa Watanzania wanachezeshwa ngoma wasiojuwa.
Nawaambia Polepole ni tapeli kuliko kawaida anataka kufanya yale ya Dr Slaa, Mbowe, Lowassa,Shibuda,Membe,Sumaye&.com.
Na Watanzania mlivyo mazombie wengi mnachezeshwa ngoma msio ijua.
Nawaambia Huyu ni timu ileile wanatufanyia maigizo tu muda uende tukose reform endeleeni kuwepo mtaona kila rangi ambayo amjawai kuona.
No reform no Election!!