Lattafa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2025
- 498
- 730
Ndugu wa Balozi amehojiwa na tumemsikia. Kuna maneno na yanayozungumzwa mitandaoni hasa hili la 'chip' ambayo ndio theory yangu inapokuja.
Je, ni kweli Balozi ana bug katika mwili wake au ni scare crow tactic aliyotumia mtoa taarifa kuwatisha watekaji.
Je, kama ni kweli Ana bug basi Lazima Kuna prearranged reinforcement ya kum tracking na possibly rescue.
Wakati utaongea.