Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
Alafu wanatarifa zanguTangu lini mkopo unatafuta mkopaji. Huo sio mkopo ni makopo
Wewe ni mwalimu wa shule ya msingi eeh?Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morroco Dar es salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
JWTZWewe ni mwalimu wa shule ya msingi eeh?
Ipo kweli, wewe kama unahitaji mkopo fika ofisini kwao wapo jengo moja na hospitali ya macho ya Dr.Agarwals. Ila ogopa mikopo ya kausha damu.Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
Unalidharirisha JWTZJWTZ
Wapo kweli ni Genuine hawana shida nenda kawasokilizeNimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
Mbona unakuwa fala fala hivyo? Ndio maana mafwele anawaburuza anavyotakaJWTZ
Serikali nzima na mipango yake inaelekezwa kwa magenge ya raia feki ili kuzidi kuyafanya yawe matajiri .... taarifa zote za kiuchumi fulsa na miradi na tenda zote zinaelekezwa kwa kundi la wahindi na waarabu waislamu.....milango yote ya uchumi wa Tanzania imefungwa rasmi kwa wabantu kwa asilimia 98% hivyo wewe ulipo andikishwa tu kuwa ni mfanyakazi mpya wa serikali basi hapo hapo taarifa zako ziliunganishwa moja kwa moja na hilo GENGE LA RAIA FEKI AMBALO KIONGOZIWAO MKUU NI ROSTAM AZIZI NA KIBARAKA WAO MKUU NI KIKWETE NA MUNGU WAO NI SAMIAAlafu wanatarifa zangu
Hao ni wakopeshaji kama kausha damu, unapeleka gari wanakagua wanaweka king'amuzi chao wanabaki na card, utalipia mpaka ukome, wanamakato mengi sana, unaweza kuchukua 3m na utalipia Kila mwezi, ukija kumaliza mkopo utajikuta ymelupia 6mNimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
Kwani unahitaji mkopo mkuu? Kama unahitaji mkopo inabidi kwanza ufanye uchaguzi wa taasisi unayoenda kukopa upate yenye riba nafuu.Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum credit wanatoa Mikopo je iyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za Ess Mimi ni ajira mpya
Superb advice to bwa mdogo.Ukiona mtu anakubembeleza akusaidie/kukupa dili, jua wewe ndio dili lenyewe. Mjini hapo bwa mdogo. 😁