Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Mar 15, 2010 #1
M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,678 Reaction score 1,279 Mar 15, 2010 #2 Barter trade,yaani mavazi kwa kura!!!
H Hamad Yussuf Member Joined Mar 31, 2008 Posts 25 Reaction score 0 Mar 15, 2010 #3 Hao ni wadanganyika hakuna zaidi hapo Mkuu
Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Mar 15, 2010 #4 Hawa ni wana chukua chako mapema
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Mar 15, 2010 #5 Nadhani wameahidiwa kuingia kwenye pepo ya Ufisadi miaka mitano ijayo
Eliphaz the Temanite JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 3,018 Reaction score 1,152 Mar 15, 2010 #6 Wafurukutwa wa chama!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Mar 15, 2010 #7 Wapenzi wa Yanga wakisikitikia kuukosa Ubingwa
carmel JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,836 Reaction score 266 Mar 15, 2010 #8 namuhurumia huyo dogo wa picha ya kwanza, naona kashaanza kuvalishwa jezi wakati hata kusoma pengine hajui, ndo tushampoteza hivo
namuhurumia huyo dogo wa picha ya kwanza, naona kashaanza kuvalishwa jezi wakati hata kusoma pengine hajui, ndo tushampoteza hivo
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Mar 15, 2010 #9 uJUMBE Chagua Kikwete ,Chagua CCM
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 414 Mar 15, 2010 #10 Safari_ni_Safari said: Wapenzi wa Yanga wakisikitikia kuukosa Ubingwa Click to expand... ....Nimeipenda hii..................
Safari_ni_Safari said: Wapenzi wa Yanga wakisikitikia kuukosa Ubingwa Click to expand... ....Nimeipenda hii..................
Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Mar 15, 2010 #11 Takrima
Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Mar 15, 2010 #12 Kwani kampeni zimeanza????
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Mar 15, 2010 #13 laligeni said: ....nimeipenda hii.................. Click to expand... ...they aren't jovial despite being in power...look at the last two photos....not ccm zealots for sure....jangwani type!!!!!!!!!!
laligeni said: ....nimeipenda hii.................. Click to expand... ...they aren't jovial despite being in power...look at the last two photos....not ccm zealots for sure....jangwani type!!!!!!!!!!
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,733 Reaction score 14,157 Mar 15, 2010 #14 Hiii maana yake ...food, cloth and shelter 4 this particular period of ph*****ick time
Songoro JF-Expert Member Joined May 27, 2009 Posts 4,122 Reaction score 1,022 Mar 15, 2010 #15 child labour & free and movable advert of CCM
K Kaisiki Member Joined Mar 12, 2010 Posts 23 Reaction score 0 Mar 15, 2010 #16 mh labda mambo ya kampeni yameanza au is just a fasion wameulamba tu
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,171 Mar 15, 2010 #17 yaani, tayari hao ni wahanga wa CCM
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Mar 15, 2010 #18 uchaguzi umekaribia!
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 16, 2010 #19 Hii inaonyesha kulikuwa na mnuso hapo hadi na hayo mandoo tena lol!
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Mar 16, 2010 #20 mchajikobe said: Barter trade,yaani mavazi kwa kura!!! Click to expand... Great answer!