Je, pesa huwavutia Wanawake?

Pesa inavutia aina zote za wanawake anzia hao wa hovyo mpaka

wanaojitambua,bado hayupo mwanamke ambae havutiwi na pesa.

Yani pesa acha kabisa,hii kitu can buy anything at any time even a temporary happiness.
 
“Money can’t buy happiness” huu msemo unatakiwa usemwe na Milioneas kwa wale ambao sio milionea wanajidanganya
Kwani kuna Billionaire yupi aliyewahi kutingisha hii dunia kwa kula kila aina ya bata na vipochi manyoya buku(1, 000/=) zaidi ya Mfalme Suleiman?

Ile kauli ya "yote bila ya kuwa na ucha Mungu ni ubatili mtupu" ilitokea wapi na akiwa na kiwango kipi cha utajiri?
 
Una pesa kuliko matajiri wa hivi sasa Jeff Bezzos na Bill Gates ambao wameachwa na wake zao ilihali bado wanaendelea kutikisa dunia ktk msimamo wa matajiri watano bora duniani?

Si unaona hatimaye hata huyo Mke wako alirudi baadaye na kulia lia kwako akimaanisha mbali na kukosa kwako pesa kuna baadhi ya vitu alikuwa anavikosa kwa Tajiri aliyemkimbilia na kukukumbuka wewe?
 
Soka La Juu Sana.
 
Kama tayari unapendwa inanogesha mapenzi
 
Mkuu siku moja fanya utafiti, tafuta mwanamke ile mnaenda kukutana nenda kihasara bila gari, alafu mpeleke geto lililochoka choka uangalie muitikio wake.
 
mhh
 
Mkuu wanawalea wa sasa wanataka pesa, cheo, muonekano na umaarufu
 
Hapa kuna ka ukweli asilimia kubwa ya vijana wenye cent ukiwachunguza wanawake zao utagundua wengi ni.

Wahudumu wa bar , wahudumu wa hotel, Malaya wa kwenye mabar, wadangaji wa kwenye mabar, wadangaji wa mtaani yaani lazima atakuwa anacheza kwenye izi angle..
 
Ukweli mtupu. Mwanamka anakuona kama kinyago tuu kama huna hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…