Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
“Money can’t buy happiness” huu msemo unatakiwa usemwe na Milioneas kwa wale ambao sio milionea wanajidanganyaUnawezaje kuwa a high value person without having money? Pesa inanunua kila kitu, "ooh but money can't buy you happiness" hizo ni kauli utazisikia kwa masikini tu. Pesa inakupa vyote, malaya & a woman with good blueprint.
Haya maisha haya yanafumbo kubwa sana hasa kwenye pesa na kuishiUnawezaje kuwa a high value person without having money? Pesa inanunua kila kitu, "ooh but money can't buy you happiness" hizo ni kauli utazisikia kwa masikini tu. Pesa inakupa vyote, malaya & a woman with good blueprint.
Kiasi Flani, sio Kivilee.Kwan ww haikuvutii.
Tutafute Pesa.Unawezaje kuwa a high value person without having money? Pesa inanunua kila kitu, "ooh but money can't buy you happiness" hizo ni kauli utazisikia kwa masikini tu. Pesa inakupa vyote, malaya & a woman with good blueprint.
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭“Money can’t buy happiness” huu msemo unatakiwa usemwe na Milioneas kwa wale ambao sio milionea wanajidanganya
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Haya maisha haya yanafumbo kubwa sana hasa kwenye pesa na kuishi
Shetani alitumia shilingi ngapi pale Bustanini Eden kummega kimasihara Eva?View attachment 2327815
Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba nzuri wana mengi zaidi ya kutoa kuliko pesa tu......
Eva alinyoosha Roho, inawezekana Walikua na Genye Wote.Shetani alitumia shilingi ngapi pale Bustanini Eden kummega kimasihara Eva?
Pesa iwepo Tu kama Sabuni Kuongeza Utelezi Kwenye Mahusiano. Isikosekane Kabisa.Mkuu Pesa ni kila kitu, we jua tu hivyo
Mkuu binafsi niliwahi kuachwa na mwanamke niliyemuamini tuliyedumu naye kwa miaka zaidi ya 10 kisa pesa.Pesa iwepo Tu kama Sabuni Kuongeza Utelezi Kwenye Mahusiano. Isikosekane Kabisa.
true storyMkuu binafsi niliwahi kuachwa na mwanamke niliyemuamini tuliyedumu naye kwa miaka zaidi ya 10 kisa pesa.
Cha kushangaza huko alikoenda kaishia kuzalishwa na kuacha akarudi analia lia
Nikiri kuna baadhi ya wanaume tunaweza kupenda mwanamke unconditionally, unamlea hata kama hana kitu unamthamini lakini usitegemee upendwe kama huna pesa.
Kuna kipindi nilikuwa na mawazo kama yako lakini saivi nimekuja kuamini huwezi kupendwa kama huna pesa, na ndo jinsi ilivyo.
TAFUTA HELA, HELA INAONDOA A LOT OF BULLSHIT
Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba nzuri wana mengi zaidi ya kutoa kuliko pesa tu......
Fact bila pesa huenda hata mwanamke mucha Mungu usipateUnawezaje kuwa a high value person without having money? Pesa inanunua kila kitu, "ooh but money can't buy you happiness" hizo ni kauli utazisikia kwa masikini tu. Pesa inakupa vyote, malaya & a woman with good blueprint.