Je pc yangu inakidhi vigezo ku run dual boot? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je pc yangu inakidhi vigezo ku run dual boot?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, Apr 6, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wadau laptop yangu kwasasa ina windows 7 na ninataka ni install pia windows xp pro sp3 niwe na chagua niboot na os gani, kwa kuangalia specification za pc yangu je itakuwa salama au ntakuwa nimeitwisha mzigo mkubwa.
  Naombeni ushauri wenu kitaalamu
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  HP G5052EA Notebook PC - Product Specifications
  Hardware
  Product Name G5052EA
  Product Number GF776EA#UUW
  Microprocessor
  1.86 GHz Memory 2 x 512 MB
  Video Graphics Intel® Graphics Media Accelerator 950
  Video Memory
  up to 128 MB (shared)
  Hard Drive 120 GB 5400 rpm
  Multimedia Drive Super Multi DVD Writer (+/-R +/-RW) with Double Layer support
  Display 15.4�? WXGA High Definition BrightView Widescreen (1280 x 800)
  Fax/Modem
  High speed 56K modem
  Network Card Ethernet 10/100BT integrated
  Wireless Connectivity 802.11 b/g WLAN
  Sound Altec Lansing® speakers
   
 2. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ingekua vzr kama ni 2.8 ghz na iwe na dual processor...
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ina run vizuri tu sababu hutakuwa unatumia OS zote kwa pamoja.

  Ni OS moja tu inakuwa active .lakini kwanini utumie Windows 7 na XP katika dual boot? Unataka ku achive nini
  hasa
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kama inaweza kubabeba windows 7 bila shida kuweka na Xp sidhani kama kuna shida coz ni sawa na lori lina uwezo wa kubeba tofali 100 ila kuna siku unataka libebe 50 so litaenda!!! ukiboot na moja ni moja nyingine haihusiki kwenye isssue ya Memory
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mkuu nina simu zangu mbili MDA vario ii na sony ericssony p900 pc suite zake haziko compitable na win7, pia evdo modem yangu ya zamani ya sasatel haikubali win7, baadhi ya game nizipendazo hazikubali win7 na mengineyo
   
 6. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ushawah kuckia k2 kinaitwa driver genius ww?google it!
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  What is this mkuu?
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Unatumia version gani ya hizo pc suite ?

  Umejaribu kutumia pc suite za errickson nyingine kama hii http://www.sonyericsson.com/cws/support/softwaredownloads/detailed/pcsuite/1.244990/k800i?cc=gb&lc=en ? au hiii http://www.sonyericsson.com/cws/support/softwaredownloads/detailed/pcsuite/1.347399/g900?cc=gb&lc=en zimegoma?

   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu P900 ni version ya sikunyingi sasa 2000, hizo ni za simu za kisasa mara nyingi hii yangu natumia kama modem, kwa T mobile hivyo hivyo yangu inakubali activesync na inakubali kwa windows xp kurudi nyuma, nasasa wametoa mpya kwa ajili ya windows 7 na vista ambayo kimeo changu hakisapoti hiyo suite.
  Week end nikitulia ntafanya hiyo kazi nadhani nahitaji kufanyia patrition 3 ya wn7, ya wnxp, na yakuwekea mafail yangu, unashaurije mkuu?
   
Loading...