SALA NA KAZI
Nilitaka nikuulize maswali kadhaa kutokana na bandiko lako lakini nimeona niache kwanza....
Nina malengo ya kuja kuandika kuhusu kanisa katoliki,nitakachoandika kitakuwa tofauti na hiki alichoandika huyu mleta thread na nadhani tutaweza kubadilishana mawazo huko....
Nimeamua kuacha kukuuliza kwasababu nitakuwa sina haja ya kuja kuandika uzi na kwenye mjadala wa namna hii sitaweza kuandika yote kwa kirefu na kwa kina....
Tuombeane uzima tu mkuu tuje tuwe na mjadala wenye tija wakati huo na tumuombe Mungu atujalie hekima yake....
Kanisa katoliki ni kanisa la aina yake na linavutia sana kwakweli.Kuna mambo mengi sana kulihusu,yapo hasi na chanya....
Ni kanisa linaloonekana kuhusika na Ukristo kwa kiwango kikubwa kabisa....
Lets hope for the best mkuu.....
Tumuombe Mungu atujaalie uzima...
Mungu ni mwema sana....